Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,436
- 23,102
Sisi wenzenu tumetoka kwenye vibegi,tunao wa kutubebea.Sijui wanaweka nini humo ndani, maana ni kama fashion kwa sasa.
Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na kitu kingine cha ziada ndani nilichoka sana.
Binafsi naona kama ni ushamba fulani hivi ambao vijana wanalimbukia bila kujielewa.
👇
King of Bahrain arrives in Dubai with his Robot bodyguard.This is the 4th Industrial Revolution. The Robot can speak 6 languages. It can rescue him literally carry him from mobs. It can physically fight, chase and shoot. It's armed with an electric teaser, an undisclosed 360 degrees camera system Secondary to a set of infrared cameras, 3 hidden machine guns with enough ammunition to fight 1050 men and a laser guided sniper machine gun. It also carries medications and water. The guard costs US $7.4 million.