Wakati mwingine unakuta anamkoba na begi la mgongoniinaongezeka kwa kazi ya 5G wadada nao hawako nyuma wanakuja kwa kasi hatarii
Hata kama ningekuwa mgeni sio kwa staili hii ya kukera wenzako
Ulikwapua site kwa mchina mkuuNina mpango hua halafu nitakuwa naweka misumari
Kilo ngapi??Nina mpango hua halafu nitakuwa naweka misumari
Niache zipi Mwanaume wa mikoani?!ndo unavyojidanganya acha hizo
Kwanini usinunue garu yakoHabari wana JF,
Najua kama mabegi hutumika kuweka vitu mbalimbali ila kero yangu ni kwa wale wanayoyavaa mgongoni kwenye daladala/mwendokasi kama tunavyojua zinavyajaza bora hata uweke mbele au umuombe mtu akushikie kuna wengine wabishi kuyaweka vizuri hata ukimwambia halafu kwanini sikuhizi yamekuwa mengi sana tofauti na zamani?
Sasa usiombe gari lifunge brake ghafla utaipata fresh hata mikoba ya wanawake nayo ni kero kubwa.
Hapo nilikuwa namaanisha walikufanyajeKwan mtu anakunyaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe ni mmoja wapo jirekebishe
sawa kaka mi mwenyewe nabeba sana ila simkeri mtu nikifika kwenye daladala naangalia utaratibu kama kumpa mtu anishikie au kama kuna sehemu niweke ikishindikana sana naweka kwa mbele
Nonsense unataka watu wote wasafiri kama unavyosafiri wewe...? Mimi bag langu lazima liwe na pc, nguo za kubadili, mswaki na dawa ya meno, vitambulisho, ATM cards, kijiko, sahani, maji, first aid kit, subwoofer ndogo notebook, na coins kama za elfu 10 kwaajili ya nauli...kiukweli siwezi kulieka chini maana linaniweka mjini!
Manukato mengine yana harufu ya ugoro lazima upige chafya akiingia mnukatoKukera...hata wengine wanakereka na manukato unayojipulizia.
Habari wana JF,
Najua kama mabegi hutumika kuweka vitu mbalimbali ila kero yangu ni kwa wale wanayoyavaa mgongoni kwenye daladala/mwendokasi kama tunavyojua zinavyajaza bora hata uweke mbele au umuombe mtu akushikie kuna wengine wabishi kuyaweka vizuri hata ukimwambia halafu kwanini sikuhizi yamekuwa mengi sana tofauti na zamani?
Sasa usiombe gari lifunge brake ghafla utaipata fresh hata mikoba ya wanawake nayo ni kero kubwa.
MmhhYaani in kero kubwa utadhani wanaenda mkoani mabegi makubwa ajabu mpaka jasho linawatoka
KIYUTIIII? hahahaaaaa mkuu unajua kukisiamkuu usiashangae sana hao wote unaowaona na mabegi ni wanafunzi wameamua kurudi shule si unajua jamaa hana maskhara ktk vyeti,so vumilia tu wakihtmu hutowaona na mabegi.