mabegi fasheni kitambo tu...yanakuwa na vitu ndani vidogo vidogoHabari za asubuhi wanajamii,![]()
Hii ya vijana wengi wake kwa waume kubeba mabegi mgongoni, hata sielewi huwa yanakuwa na nini, utafikiri mtu yupo safarini. Huwa nashuhudia hata wata wafanyakazi wenzangu utakuta anakuja na begi mgongoni akifika analiegesha hadi jioni wakati wa kuondoka analibeba sometimes mnapanda daladala moja haendi kokote zaidi ya nyumbani.
Sasa mtu unabaki unajiuliza hilo begi lina nini ndani? Sijui huwa mnachukua nguo, vitabu au nini? Kilichonifanya niandike humu ni ile kero tunayoipata kwenye mabasi hasa haya ya mwendo kasi. Watu wanaingia na mabegi mgongoni hajali kama linamsukuma mtu mwingine upande wa pili.
Punguzeni kuchukua mabegi imekuwa kama fashion....
mkuu,,,, sijamuwazia kujipodoa,,, ila kila mtu amejua ndicho anachobebaga,,,, naivi ni smart babyface c ndo balaa.Ungelisema Mwanaume (1) usitujumlishe.... labda alitaka kupeleka zawadi kwa sista wake au lover wake?
Yule awezakuwa Sales rep. au delivery man wa courier !! ilikuwa baada ya kumaliza pale idarani apelike mzigo kwa mteja !!mkuu,,,, sijamuwazia kujipodoa,,, ila kila mtu amejua ndicho anachobebaga,,,, naivi ni smart babyface c ndo balaa.
assee wee rijamaa hatari...!!!wanawekaga pedi mkuu
Hahaahasas kazi kweli kweliwanawekaga pedi mkuu
wanaweka ped, kioo na poda. pia wengine huwa nayo wakiopoa mtoto wa kishua wanawaibia wanaficha humoSijui wanaweka nini humo ndani, maana ni kama fashion kwa sasa.
Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na kitu kingine cha ziada ndani nilichoka sana.
Binafsi naona kama ni ushamba fulani hivi ambao vijana wanalimbukia bila kujielewa.
Sijui wanaweka nini humo ndani, maana ni kama fashion kwa sasa.
Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na kitu kingine cha ziada ndani nilichoka sana.
Binafsi naona kama ni ushamba fulani hivi ambao vijana wanalimbukia bila kujielewa.
Umenifurahisha sana mkuu ulipo uliza mbona wanao beba brief case hawawaulizi?siku hizi watu wanamambo mengi wacha watu waendelee kuona wenzao washamba!mimi binafsi kazi yangu inanitaka kuwa na begi la kubebea vifaa vya kazi!Mkuu hilo si suala la ajabu sana.Asilimia kubwa ya watumiaji wa begi hizo huwa na na sensitive materials ambazo zinavutia wizi.pili,bidhaa haramu.So,all in all,wanapunguza attention ya watu.Dunia ya leo kuna portable devices nyingi ambazo begi linarahisisha ubebaji na usalama.Unaweza kumkuta mtu ana kibegi kabeba headphones tu,ila ni beats by dre dukani ni sh laki mbili.ukiweka shingoni huku mitaani ni tabu.na wewe unataka uende nayo maybe beach,uwanjani etc ukaitumie huko uweke kwenye rambo?by the way,wengine tukienda bank na hela nyingi,utatukuta na appearance hiyo hiyo,chini pensi,juu tshirt,mgongoni kibegi,kumbe umejaza hela ya kupaulia nyumba.hata ukiacha kwenye gari hawachukui,ila weka briefcase uone!halafu mbona hamuwasemi wanaobeba briefcase na kuniga tai wakienda ofisini?it's just a matter of choice and style.Mie nikienda benki kibegi,nikienda site kibegi,nikienda gym mazoezini kibegi,wenye uelewa wa maisha wala hawataniuliza kwa nini nabeba.wacheni zenu bhana.