Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

mkuu usiashangae sana hao wote unaowaona na mabegi ni wanafunzi wameamua kurudi shule si unajua jamaa hana maskhara ktk vyeti,so vumilia tu wakihtmu hutowaona na mabegi.
Wengine ni vibaka tu
 
Mm mwnyewe nimezaliwa hapo na naishi apo hx labda nikukaribishe ww wa kuja
 
Mm mwnyewe nimezaliwa hapo na naishi apo hx labda nikukaribishe ww wa kuja
Kama umezaliwa Dar basi huwezi mshangaa mtu aliebeba begi....siku hizi kuna biashara nyingi ambazo hazifanyiki madukani, kuna zile za mtandaoni mteja anaorder na ukitaka deliver mzigo kwa mteja unapack kwenye begi ili kumfikishia

Unaweza kuzaliwa mjini na bado ukawa hujui kitu
 
Hamjakatazwa msibebe bt muwe wastaarabu .heshima ni kitu cha bure kaka
 
Nonsense unataka watu wote wasafiri kama unavyosafiri wewe...? Mimi bag langu lazima liwe na pc, nguo za kubadili, mswaki na dawa ya meno, vitambulisho, ATM cards, kijiko, sahani, maji, first aid kit, subwoofer ndogo notebook, na coins kama za elfu 10 kwaajili ya nauli...kiukweli siwezi kulieka chini maana linaniweka mjini!
vyaa kwa mbele sasa maana umesahau na sindano usije ukachoma wenzako
 
Tuweni wakweli kidogo, watu mnategemea comfort levels kwenye public transport kama gari binafsi, haiwezekani!
inawezekana sema watu wameshajichukia kuwa kwenye public transport anaweza fanya chochote kwa sababu analipa nauli ila sio kweli
 
Kama umezaliwa Dar basi huwezi mshangaa mtu aliebeba begi....siku hizi kuna biashara nyingi ambazo hazifanyiki madukani, kuna zile za mtandaoni mteja anaorder na ukitaka deliver mzigo kwa mteja unapack kwenye begi ili kumfikishia

Unaweza kuzaliwa mjini na bado ukawa hujui kitu
hayo yote najui kumkera mwenzako na hayo uliyosema hayana uhusiano wowote mi mbona nabeba ila najitahidi nisimkere abiria mwenzangu wa jirani
 
Habari wana JF,

Najua kama mabegi hutumika kuweka vitu mbalimbali ila kero yangu ni kwa wale wanayoyavaa mgongoni kwenye daladala/mwendokasi kama tunavyojua zinavyajaza bora hata uweke mbele au umuombe mtu akushikie kuna wengine wabishi kuyaweka vizuri hata ukimwambia halafu kwanini sikuhizi yamekuwa mengi sana tofauti na zamani?

Sasa usiombe gari lifunge brake ghafla utaipata fresh hata mikoba ya wanawake nayo ni kero kubwa.

We ndo yule jamaa kwenye mwendo kasi jana alinimaindi na begi langu nini??
Sasa unakuta kila basi linakupita kituoni bila kusimama, likisimama moja lazima tubanane na begi mgongoni.

Kukera...hata wengine wanakereka na manukato unayojipulizia.
Wadada nao nywele zao zinanuka.
 
Back
Top Bottom