ushauri tafadhariHabari wana JF najua kama mabegi hutumika kuweka vitu mbalimbali ila kero yangu ni kwa wale wanayoyavaa mgongoni kwenye daladala/mwendokasi kama tunavyojua zinavyajaza bora hata uweke mbele au umuombe mtu akushikie kuna wengine wabishi kuyaweka vizuri hata ukimwambia halafu kwanini sikuhizi yamekuwa mengi sana tofauti na zamani??sasa usiombe gari lifunge brake ghafla utaipata flesh hata mikoba ya wanawake nayo ni kero kubwa....
yah ni kweli ila huko bado ndo maana tunakomaa na public transport isiwe sababu ya kukera wenginePublic transport hakunaga kero ati
Nina mpango hua halafu nitakuwa naweka misumariNa wewe nunua begi lako kiongozi
unawaambia kuna wengine waelewa ila wengine wanajifanya hawaelewi vichwa majiUnaogopa kuwaambia?
utavumiliaje huku unaumiamkuu usiashangae sana hao wote unaowaona na mabegi ni wanafunzi wameamua kurudi shule si unajua jamaa hana maskhara ktk vyeti,so vumilia tu wakihtmu hutowaona na mabegi.
umeona eehMi mwenyewe wananikeraga sana...
Kwani wanafunzi wanaisha ,wakitoka wao wapya si huingiamkuu usiashangae sana hao wote unaowaona na mabegi ni wanafunzi wameamua kurudi shule si unajua jamaa hana maskhara ktk vyeti,so vumilia tu wakihtmu hutowaona na mabegi.
Kukera...hata wengine wanakereka na manukato unayojipulizia.yah ni kweli ila huko bado ndo maana tunakomaa na public transport isiwe sababu ya kukera wengine
ni kweli basi tufanye watapungua kidogo maana watakuwA makazinIKwani wanafunzi wanaisha ,wakitoka wao wapya si huingia
Acha kulalama kijana.. izo ni changamoto za jijiHabari wana JF najua kama mabegi hutumika kuweka vitu mbalimbali ila kero yangu ni kwa wale wanayoyavaa mgongoni kwenye daladala/mwendokasi kama tunavyojua zinavyajaza bora hata uweke mbele au umuombe mtu akushikie kuna wengine wabishi kuyaweka vizuri hata ukimwambia halafu kwanini sikuhizi yamekuwa mengi sana tofauti na zamani??sasa usiombe gari lifunge brake ghafla utaipata flesh hata mikoba ya wanawake nayo ni kero kubwa....
aisee sijui wanaume wa dar wanabeba nini naona kasi inaongezekaHabari wana JF,
Najua kama mabegi hutumika kuweka vitu mbalimbali ila kero yangu ni kwa wale wanayoyavaa mgongoni kwenye daladala/mwendokasi kama tunavyojua zinavyajaza bora hata uweke mbele au umuombe mtu akushikie kuna wengine wabishi kuyaweka vizuri hata ukimwambia halafu kwanini sikuhizi yamekuwa mengi sana tofauti na zamani?
Sasa usiombe gari lifunge brake ghafla utaipata flesh hata mikoba ya wanawake nayo ni kero kubwa.
wanakera kaka ujue changamoto nyingine ni za kutengenezwa mojawapo hii hapaAcha kulalama kijana.. izo ni changamoto za jiji
Si kidogo eti wanaita swagga,wakati wengine tunaumiaDar kuna mambo sana..