Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Ha ha haaah!, tartibu kijana. Mm nilikuwa naweka Tablet ya watu ambao walinikabidhi ili nikusanyie data field, kwahiyo utakuta mda wote nipo na kibegi nimedumu kwa miezi 6 hadi niliporudisha mashine ya watu. Sio wote swaga, wengine ni shughuri za kiuchumi ndugu yangu. Headphone ya elfu nane imebebwa pekee jua atakuwa anashida ya kichwa chake
 
Inategea wala si ushamba, Dar ni mji wa watu wa kila aina wewe ukishangaa hilo Mimi nitakushangaa wewe, sababu Za mtu kubeba begi ni zake mwenyewe. Kwanza haivunji maadiri yeyote, mwingine anabeba begi kuwekea chochote ambacho anaweza kununua huko mtaani, badala ya kubebea mfuko wa Rambo.
maadiri=maadili
 
Kwan Hawa Wasiobeba Vibegi Hawabebi Nini? Hilo Ndio Swali,,,,mi Simu Yangu Haingii Mfukon Unataka Niishke Mkononi Kutwa Nzima,,,,na Headphone Na Laptop Na Kicks Kaliii Just In Case Nilizovaa Zmechafuka
 
Wengine ni waandishi wa habari wanahifadhi vitu vyao vizuri ajili ya shughuli zao.
 
D knob mbona alishaimba pia.Ni fashion ya zamani.
 
Husaidiki
Inategea wala si ushamba, Dar ni mji wa watu wa kila aina wewe ukishangaa hilo Mimi nitakushangaa wewe, sababu Za mtu kubeba begi ni zake mwenyewe. Kwanza haivunji maadiri yeyote, mwingine anabeba begi kuwekea chochote ambacho anaweza kununua huko mtaani, badala ya kubebea mfuko wa Rambo.
maadiri=maadili
Hii mada ishapita muda wa kuijadili ya mwaka 2014.
 
Back
Top Bottom