Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

ni ujana tuu unawasumbua...most of them wanabeba mizigo na wengine wanabeba mizigo hatari...tena ya hatari kama bangi na vifaa vya wizi...epuka kama upo sehemu na best yako akakwambia umsaidie kubeba begi lake ata kama ni ndugu yako hakikisha unajua alichokihifadhi humo ndani usije ukajikuta mikono mwa wana usalama huku ukiwa na kidhibit mkononi...then huyo ndugu akatokomea kusiko julikana
 
Hiyo ni ofisi.Inarahisisha sana maisha na kwa mtu asiye na kazi hawezi kujua kwani hata akimiliki pc mara nyingi huwa ni kwa ajili ya muziki na picha za ngono kwa hiyo akiwa mtaani atatumia tu simu kama akikumbuka hayo mambo yake.Wengine hiyo ndiyo toolbox yetu.Kuna Pc,doc,card za bank,charger za simu,Diary nk.Maana mtu ukitoka nyumbani asubuhi unarudi usiku,sasa unategemea uondoke na suruari na boksaa kwani wewe ni kibaka au unaenda kucheza pool table?
 
Nakushauri na wewe vaa begi.

Ili u neutralize hiyo hali.

Ngumu sana kuwazuia watu kubeba mabegi.

Kwasababu kila mmoja ana mtindo wake wa maisha.

Wengine wanavaa mabegi kwa sababu za msingi ambazo haziepukiki.

Ushauri wako to some extent ni mgumu sana kutekelezeka.
Acheni ushamba wa kujibebesha mizigo kama punda eti fashion.Mijitu mizima ovyo kabisa bwana.Mbona mimi ni kijana lakini upuuzi huo umenipitia mbali.Mtakuwa mnabeba kwa ajili ya wizi tu.
 
Punguza umbea...................wanaobeba ndio wanajua umuhimu wake........Jishughulishe na maisha yako ya wengine waachie wenyewe.
Wamekwambia fashion hayana kazi nyingine sasa unatetea ujinga?
 
Sasa abebe mwingine na wewe uulize inakuhusu nini? Alafu bwana Mdesi ukute we ni mwanaume kabisa na unapewa shkamoo kbs
 
Acheni ushamba wa kujibebesha mizigo kama punda eti fashion.Mijitu mizima ovyo kabisa bwana.Mbona mimi ni kijana lakini upuuzi huo umenipitia mbali.Mtakuwa mnabeba kwa ajili ya wizi tu.
Kijana unakula kwa mama mdogo,huna mipango yoyote,hata ukitembea bila diary uko sawa tuu.Naamini ni dalili kubwa ya uzembe,ushamba na kutokuwa na majukumu.Waache watu na majukumu yao na mizigo yao begani.
 
Acheni ushamba wa kujibebesha mizigo kama punda eti fashion.Mijitu mizima ovyo kabisa bwana.Mbona mimi ni kijana lakini upuuzi huo umenipitia mbali.Mtakuwa mnabeba kwa ajili ya wizi tu.

Wakibeba we unapungukiwa nini?
 
Mimi natembeaga na laptop na maji pembeni. Ko begi ni lazima. Halafu kama inakukera we unadhani hayo ma beg yalitengenezwa kwa ajili gani? Acha watu waishi maisha yao
 
Vijischana vya Dar bhana,eti begi la nini?

Okay kabeba kinga toka PSI & TACAIDS kujikonga na ajali za mwendo kasi .
 
Mm bila begi mjini siendi lazima nibebe laptop yangu simu humo wallet yangu fresh
 
Acheni ushamba wa kujibebesha mizigo kama punda eti fashion.Mijitu mizima ovyo kabisa bwana.Mbona mimi ni kijana lakini upuuzi huo umenipitia mbali.Mtakuwa mnabeba kwa ajili ya wizi tu.
Ukisha acha kuishi alipo olewa dada ako ndo utajua umuhimu wa kibegi mgongoni,begi ni ofisi tosha kabisa.....!!
 
Back
Top Bottom