Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,421
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] kama wazungu vileMabegi now ni fashion hasa haya ya skuizi full muonekano mzuri
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] kama wazungu vileMabegi now ni fashion hasa haya ya skuizi full muonekano mzuri
HA haha lol. NI sheeda kiukweli.Ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
Tabia hiyo si kwa wanaume wa Dar tu, nina mtoto wa dada yangu anaingia kidato cha sita sasa. yaan mda mwingine nashikwa na bumbuwazi. kila sehemu ana kibegi mgongoni kama mganga wa kienyeji. hiyo tabia hakuwa nayo ila baada ya kwenda tu high school Rungwe sec. Nashindwa kumwelewa.hata nikimtuma sokoni ni lazima abebe begi mgongoni bila kusahau headphone.
Lady pepetua....Vipi kuhusu masista duu na vipima joto vyao makwapani...
Wao mule kule mikoba yao mikubwa wanawekaga vitu gani??
well saidMabegi ni ofis za watu,kuna documents, laptops,mihuri nk.tunaweka na fruits, maji,snacks nk..acha hizo mtoa mada
Ebu mwambie uyoKaka hilo liko wazi! Dar es Salaam ulitokea mtindo ambao wengi hawawezi kuamini lakini watu wengi yameshawakuta sana! Kwamba ukiwa na beg lenye komputa mpakato( laptop) umelishika mkononi wanakuja watu wako ndani ya gari wanakushika mkono halafu gari linawashwa kwa kasi, sasa ili kukwepa kuumia lazima mkono uachie na jamaa wanachukua laptop kiulaini! Sasa ili kujipunguza na kasheshe hizo watu wakabuni kuweka mgongoni na kwa kiasi kikubwa imesaidia sana, sasa wengine imekua fashion lakini chimbuko lake kubwa lilikuwa hilo!
Uzuri wa nchi zetu za afrika ni ku mind business zisizokuhusu. Hivi hata Kama unabeba beg hamna kitu wengine inatuhusu nini. Ubora wa ma mtoni hata ungeamua kubeba suitcase kila unspoenda Hakuna anaejali business za mwenzake. Sasa tuachane kushobokea business zisizotuhusuAcheni ushamba hilo beg ni personal package ,unaweza weka ipad,gadgets yoyote ile ,vitabu hata condom because its safe