Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Juzi niliangalia kwny begi la ivo ivo huwa analitumia rafiki yangu m1.....nikastaajabu na kucheka tu kwa vtu nilivovikuta ndani:-kuna body spray,brashi ya viatu, chaja ya simu,boxer na kitana kidogo cha kuchania nywele....!!
 
Mi hata kama begi liko tupu lazima nibebe for emergency maana naweza kununua vitu njiani nikaweka kwa begi langu na sio kuzurura na mifuko ya rambo kama msukuma
 
Wafanyakazi, wanafunzi na Mapusha a.k.a wasukuma kete na watu wa kati a.k.a middle man wanavaa mabegi town
 
hahahaaaa mie huwa nabeba monitor,cpu,key board na mouse!
 
7049dc4a928ce81283a8927af38c8f52.jpg
Habari za asubuhi wanajamii,

Hii ya vijana wengi wake kwa waume kubeba mabegi mgongoni, hata sielewi huwa yanakuwa na nini, utafikiri mtu yupo safarini. Huwa nashuhudia hata wata wafanyakazi wenzangu utakuta anakuja na begi mgongoni akifika analiegesha hadi jioni wakati wa kuondoka analibeba sometimes mnapanda daladala moja haendi kokote zaidi ya nyumbani.

Sasa mtu unabaki unajiuliza hilo begi lina nini ndani? Sijui huwa mnachukua nguo, vitabu au nini? Kilichonifanya niandike humu ni ile kero tunayoipata kwenye mabasi hasa haya ya mwendo kasi. Watu wanaingia na mabegi mgongoni hajali kama linamsukuma mtu mwingine upande wa pili.

Punguzeni kuchukua mabegi imekuwa kama fashion....
haya maisha yamewachanganya watu mkuu,ukikagua hapo utakuta mtu anazunguka na konobao pamoja na mwiko
 
Juzi niliangalia kwny begi la ivo ivo huwa analitumia rafiki yangu m1.....nikastaajabu na kucheka tu kwa vtu nilivovikuta ndani:-kuna body spray,brashi ya viatu, chaja ya simu,boxer na kitana kidogo cha kuchania nywele....!!
hiii inaitwa kambi popote!
 
Swali lako lipo sawa ila inategemea na Muktadha au uhitaji wa mbebaji begi mwenyewe.

Kwa mfano mimi asilimia 99 ya kazi ninayofanya inahitaji laptop all the time, so ni lazima niwe nayo muda wote. Kama bado unawaza kianologia basi utaona mabegi ni useless kwasababu una mawazo mtu mpaka awe ofisini ndipo afanye kazi.

Ila ukiwaza kidijitali utaona sio lazima ukae ofisini ndio ufanye kazi, popote muda wowote ili mradi upo connected na mambo ya skype na nini unapiga mzigo.
 
Duuh! Nilikuwa sijuiii! Wacha namimi nikalinunue niende na wakati! Khaa! Kuumbe ndio maaanaa....!!
 
Mi nafikiri watakuwa wanatembea na mikate , mahotpot na maji ya kuchemshaa maisha yeshakuwa magum mkuuu!teh teh teh!
 
1. laptops
2 ipads
3. lunchboxes
4. diaries
5. lesson
6. Biblia
7. connecting cables
8. any other electronic gadgets ans stuffs
9. wallts full of Cash
10. cheque books

hiyo namba sita....itabidi na mie nianze,manake unaweza ukategwa barabari uko uka kaaa sehemu ukatoa Bible ukapiga mistari miwili ukakemea ukaendelea na safari...
 
Ninazo laini tatu za mitandao ya simu.Kila laini ina simu yake.Nina kadi mbili za atm. Nina kitambulisho cha mpiga kura.Vyote hivyo lazima nitembee navyo popote niendapo: ni muhimu sana kwangu.Ni mzigo kuweka kwenye mifuko ya suruwali/shati.Naweka kwenye kibegi changu na kukivaa mgongoni.Kwa sasa kibegi nimekichora maandishi mekundu: SHIEKA.

Ukiona kibegi mgongoni chenye maandishi hayo mitaa ya Bomang'ombe au Naibili huyo ni shieka! Please say hello to me.
 
7049dc4a928ce81283a8927af38c8f52.jpg
Habari za asubuhi wanajamii,

Hii ya vijana wengi wake kwa waume kubeba mabegi mgongoni, hata sielewi huwa yanakuwa na nini, utafikiri mtu yupo safarini. Huwa nashuhudia hata wata wafanyakazi wenzangu utakuta anakuja na begi mgongoni akifika analiegesha hadi jioni wakati wa kuondoka analibeba sometimes mnapanda daladala moja haendi kokote zaidi ya nyumbani.

Sasa mtu unabaki unajiuliza hilo begi lina nini ndani? Sijui huwa mnachukua nguo, vitabu au nini? Kilichonifanya niandike humu ni ile kero tunayoipata kwenye mabasi hasa haya ya mwendo kasi. Watu wanaingia na mabegi mgongoni hajali kama linamsukuma mtu mwingine upande wa pili.

Punguzeni kuchukua mabegi imekuwa kama fashion....
Acha kufuatilia yasiyokuhusu. Unataka kila mtu akwambie kwenye begi anabeba nini? Watu wanabeba laptops,hela, nguo za mazoezi,vitabu etc
 
We sema wabebe mabegi vizuri yasikubughudhi.

Wakikwambia wanabeba chakula na umepewa swali moja tu utashindwa kuuliza ulichotaka kuuliza, ambacho ni kuwataka wasiwabugudhi.

Kila mtu ana haki ya kubeba atakacho. Mradi havunji sheria au kubugudhi wengine.
 
7049dc4a928ce81283a8927af38c8f52.jpg
Habari za asubuhi wanajamii,

Hii ya vijana wengi wake kwa waume kubeba mabegi mgongoni, hata sielewi huwa yanakuwa na nini, utafikiri mtu yupo safarini. Huwa nashuhudia hata wata wafanyakazi wenzangu utakuta anakuja na begi mgongoni akifika analiegesha hadi jioni wakati wa kuondoka analibeba sometimes mnapanda daladala moja haendi kokote zaidi ya nyumbani.

Sasa mtu unabaki unajiuliza hilo begi lina nini ndani? Sijui huwa mnachukua nguo, vitabu au nini? Kilichonifanya niandike humu ni ile kero tunayoipata kwenye mabasi hasa haya ya mwendo kasi. Watu wanaingia na mabegi mgongoni hajali kama linamsukuma mtu mwingine upande wa pili.

Punguzeni kuchukua mabegi imekuwa kama fashion....
inategemea, mimi nabeba begi langu kama ofisi.
 
Punguza umbea...................wanaobeba ndio wanajua umuhimu wake........Jishughulishe na maisha yako ya wengine waachie wenyewe.
halafu kibaya zaidi hajui haya mabegi tunayanunua gharama,tunaweka computer na vurugu nyingine zote zinazojitokeza kwenye pilika za kila siku za kimaisha,binafsi hauwezi kunibebesha mifuko ya plastic,ukibeba begi inakuwa rahisi na unakuwa comfortable,pia ni moja kati ya addiction pia.
 
"kuna kijana pale uwanja wa uhuru nilimwona ameweka deki chakavu ya SINGSUNG ili ionekane kama laptop ingawa alinimaindi sana baada ya kuonekana kwa watu"
Hayo ni majibu yangu niliyotoa kwenye mada kama hii iliyoletwa hapa mwaka juzi.
Wengi wanabeba kwa manufaa haijalishi anachoweka ndani ni kitu gani, hata asipoweka ni kwa ajili ya emergence. Unaweza kutana na shati unalolipenda njiani ukanunua na kulitia humo.
 
Back
Top Bottom