Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Basi katika kadhia nisizopenda ni kubeba begi, labda nikiwa safari ndo naditch handbag na kubeba begi,
 
Na wapo wengine hakuna anachoweka kwenye begi,mfano siku za kazi kazoea kuweka laptop nk,basi hata weekend habebi laptop atabeba begi tu kama lilivyo,kashalizoea sana linampa confidence akitembea,

Ushawahi jaribu kutembea bila kuwa na handbag,wala bag,wala wallet, wala simu wala kushika chochote kwa umbali flan mbele za watu??ts a new experience kw mtu uliezoea kushika vitu all the tym
Jaribu kutembea wewe Kama wewe na nguo zako tuuuu....afu leta mrejesho
 
Binafsi Bag ya Mgongoni hunifanya niwe na uhakika wa document zangu, Simu, Vitambulisho, na Sometimes Mkwanja.
So ina matumizi mengi sana.
 
laptop, external hard disk, charger, documents, leso,ka tshirt kidogo ka emergency,earphone,atm cards, ids ... vitu vingi aisee.
sasa sijui hivi vyote uvibebe kwa bahasha au fuko la lambo, mzee tuko kijiditali we baki analogia
Hahaha we ni boya unamchanaa mzee mzima live basi haina kushangaza
 
wengine ni wanafunzi lazima abebe begi, wengine wanafanya application mbalimbali hivyo kuwa na begi ni muhimu kwa ajili ya kuhifadhi documents mbalimbali, wengine ni wafanyakazi wapya walibebe sana mabegi walivyokua wanafunzi hivyo hiyo tabia bado wanayo, wengine mabegi ndio office zao yaani wao kambi popote wanafungua begi wanapiga kazi, wengine nature ya kazi zao zinawalazimisha kubeba mabegi wanapoenda ofisini. Hivyo mkuu inabidi uwavumilie tu.
 
Yana muonekano mzuri na ni rahisi kwa kuhifadhi vijibidhaa kadhaa ikawa na rahisi kwa kubeba tatizo yanafanana kiasi likipotea moja labsha yake inawakumba watu zaidi ya 10 katika eneo husika.
 
Hata Mimi huwa nashangaa sana mtu unaenda kazini huna hata dairy tu mkononi, unaenda kufanya nini? Hauna japo notebook..
Kwa ufupi tunaotembea na bags mgongoni huwa ndani kuna laptops, na pia tuna documents na hata materials za kujisomea during rest hours,
Kama huwa unaenda kazini mikono mitupu na unarudi mikono mitupu,
Jiangalie upya
 
Mkuu mbona umejibu kwa ghadhabu na fedhuli? au huwa unabeba begi ndani halina kitu..
Fundisho kubwa kwenye hiyo comment yangu ni hili ""mind your own business" Kuna nn ndani ya begi analobeba mtu ni juu yake mwenyewe, binafsi sijawahi ku beba begi natumia desk top na mambo yanaishia hapo hapo kazini, nature ya kazi yangu haiitaji laptop
Zaidi ya hapo ni pochi

Uswahili umeharibu sana taifa hili hasa ile sera ya socialism ambayo kila mtu anataka kujua jirani kala nn leo au kanunua nn

Nchi zilizo embrace full capitalism kila mmoja anafuata yake, hata ukitembea mtaani umevaa chupi tu watu hawahangaiki na wewe
 
Pia Kwa sasa kuna fursa mpya ya ajira ya makampuni ya dawa hasa za binadam ambapo huajiri watu kama medical representative ambpo hubeba mabegi yenye materials kwaajiri ya kwenda kufanya promotion mahospitalini
 
Tunabe
Habari za asubuhi wanajamii,

Hii ya vijana wengi wake kwa waume kubeba mabegi mgongoni, hata sielewi huwa yanakuwa na nini, utafikiri mtu yupo safarini. Huwa nashuhudia hata wata wafanyakazi wenzangu utakuta anakuja na begi mgongoni akifika analiegesha hadi jioni wakati wa kuondoka analibeba sometimes mnapanda daladala moja haendi kokote zaidi ya nyumbani.

Sasa mtu unabaki unajiuliza hilo begi lina nini ndani? Sijui huwa mnachukua nguo, vitabu au nini? Kilichonifanya niandike humu ni ile kero tunayoipata kwenye mabasi hasa haya ya mwendo kasi. Watu wanaingia na mabegi mgongoni hajali kama linamsukuma mtu mwingine upande wa pili.

Punguzeni kuchukua mabegi imekuwa kama fashion....
ba vitabu vya kusoma
 
Mtoa mada ungejaribu kugusia mambo muhimu yanayokera kwenye daladala kama watu kunuka, watu kuwa bize kuangalia simu za watu wakichati, watu kubeba samaki bila kuzifunga vizuri na unene uliopitiliza unaosababisha ufunyu wa siti.
 
Na wapo wengine hakuna anachoweka kwenye begi,mfano siku za kazi kazoea kuweka laptop nk,basi hata weekend habebi laptop atabeba begi tu kama lilivyo,kashalizoea sana linampa confidence akitembea,

Ushawahi jaribu kutembea bila kuwa na handbag,wala bag,wala wallet, wala simu wala kushika chochote kwa umbali flan mbele za watu??ts a new experience kw mtu uliezoea kushika vitu all the tym
Jaribu kutembea wewe Kama wewe na nguo zako tuuuu....afu leta mrejesho
Ulipekua begi la watu ukajua kama hajaweka kitu? Huo ni umbeya. Wapo watu mjini wanaishi kuangalia maisha ya watu na kukosoa only
 
Waulize wanabeba nini? Pia unakereka na nini wakati ujaombwa kumsaidia kubeba?
Kama umesoma habari yoote vizuri, basi utakuwa umeona jinsi yanavomkera ndani ya basi kwa kubana nafasi na kumsukuma toka migongoni mwa hao wabebaji.
 
Back
Top Bottom