Wakuu hii mada imenifurahisha sana. Kiukweli ukiachana na washamba wachache wanaopenda kuiga kila kitu, lakini asilimia kubwa vijana wa town tunaobeba mabegi huwa ni kwa ajili ya kuhifadhi gadgets including laptop, camera, I pad na charger zake.
Mfano mm kila nikitoka kwenda kwenye Moshe zangu town lazima nibebe bag mgongoni kwa ajili ya kuhifadhi gadgets zangu, pia kwa sie watt wa mini bag mgongoni linasaidia in case ukikutana na kitu kikali kama vile shati, jeans au raba Kali inakuwa rahisi kuvihifadhi na so kuwekewa kwny mfuko wa rambo.
Pia kwa mabachelor inasaidia hususani jioni unaporudi kutupia ma take away hivi e.g kiepe yai au mishkaki flani mingi, burger e.t.c. kwa ajilii ya dinner hivi ghetto.