Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Wakuu hii mada imenifurahisha sana. Kiukweli ukiachana na washamba wachache wanaopenda kuiga kila kitu, lakini asilimia kubwa vijana wa town tunaobeba mabegi huwa ni kwa ajili ya kuhifadhi gadgets including laptop, camera, I pad na charger zake.
Mfano mm kila nikitoka kwenda kwenye Moshe zangu town lazima nibebe bag mgongoni kwa ajili ya kuhifadhi gadgets zangu, pia kwa sie watt wa mini bag mgongoni linasaidia in case ukikutana na kitu kikali kama vile shati, jeans au raba Kali inakuwa rahisi kuvihifadhi na so kuwekewa kwny mfuko wa rambo.
Pia kwa mabachelor inasaidia hususani jioni unaporudi kutupia ma take away hivi e.g kiepe yai au mishkaki flani mingi, burger e.t.c. kwa ajilii ya dinner hivi ghetto.
hehehe swag on point.. Lols
 
Truth Revealed:Ni wezi wa vifaa vya magari na nguo zinazoanikwa kwenye kamba!
 
Wanaiga tangazo la Switch On la airtel

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sijui wanaweka nini humo
ndani, maana ni kama fashion kwa sasa.
Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua
nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na kitu kingine
cha ziada ndani nilichoka sana.

Binafsi naona kama ni ushamba fulani hivi ambao vijana wanalimbukia bila
kujielewa.

vijana walipita na kamera na moderm ikiwa na memory card ina picha na data kibao vilikuwa kajimfuko kadogo ka nyuma kabisa,sina hamu
 
Huwa nawashangaa nikiwaona wale masharo wa mjin unakuta chin kavaa viatu vya bluu au red...kasuruali kanjano au red afu kamebanaa!..shati la kuwakawaka afu na kizibao juu na miwani..afu mgongoni na kibegi na headphones maskioni..afu kila mtaa ukikatiza unamkuta.. na jion kweny kugombania magar yumo...hivi si watakua wanachokaga sana usiku?
 
Kaka hilo liko wazi! Dar es Salaam ulitokea mtindo ambao wengi hawawezi kuamini lakini watu wengi yameshawakuta sana! Kwamba ukiwa na beg lenye komputa mpakato( laptop) umelishika mkononi wanakuja watu wako ndani ya gari wanakushika mkono halafu gari linawashwa kwa kasi, sasa ili kukwepa kuumia lazima mkono uachie na jamaa wanachukua laptop kiulaini! Sasa ili kujipunguza na kasheshe hizo watu wakabuni kuweka mgongoni na kwa kiasi kikubwa imesaidia sana, sasa wengine imekua fashion lakini chimbuko lake kubwa lilikuwa hilo!

Kwa kuongezea hapo.. kutokana na adha ya usafiri jijini, kibegi cha mgongoni kinakuwa comfortable kuliko yale ya mkononi.
 
Yote kumi dada angu we mtu akibeba begi lake wewe inakuuma nini? Kuna watu hawana tofauti na magazeti ya shigongo mtu hadi unathubutu kuchungulia ujue kilichomo kama si umbea si wizi huo. Mimi ukihangaika ujue kwenye begi nimebeba nini naweza kukugeuzia kibao we ndo mwizi

Iweje ubebe kibegi kitupu kila siku? kinyerezi/ posta daily kibegi mngongoni hakina kitu. Umekuwa Sind Bad Baharia?
 
Begi langu la mgongoni husaidia kuzuia wale waporaji wa pc na pia huwa nahifadhia stock yangu ya ganja, sio rahisi polisi kusachi begi lako akishaona kibegi tu! anajua we ni wakusoma so hana mpango na wewe idawa

Ok polisi kazi kwenu. kagueni rack sack hizo kuna ganja.
 
Last edited by a moderator:
Sijui wanaweka nini humo ndani, maana ni kama fashion kwa sasa.
Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na kitu kingine cha ziada ndani nilichoka sana.

Binafsi naona kama ni ushamba fulani hivi ambao vijana wanalimbukia bila kujielewa.

Ndio Swag za mtoni hizo za vijana wa mitaani zilianza tokea miaka ya 90s huko mtoni sasa hivi zimeangukia Bongo:cool2:
 
You are know everybody at Dar es Salaam is pretend is big boss and is have laptop. I am not know why. Every bigman is have laptop. how can people know you have hidden laptop ? It simply carry a bag. wear nice cloth. be smart and you pass as respectful person. You are not carry bag they know you are daladala conductor or you not have many money. Simple trick it use.

hahaa...nice english..n'dai like mkuu
 
Wakuu hii mada imenifurahisha sana. Kiukweli ukiachana na washamba wachache wanaopenda kuiga kila kitu, lakini asilimia kubwa vijana wa town tunaobeba mabegi huwa ni kwa ajili ya kuhifadhi gadgets including laptop, camera, I pad na charger zake.
Mfano mm kila nikitoka kwenda kwenye Moshe zangu town lazima nibebe bag mgongoni kwa ajili ya kuhifadhi gadgets zangu, pia kwa sie watt wa mini bag mgongoni linasaidia in case ukikutana na kitu kikali kama vile shati, jeans au raba Kali inakuwa rahisi kuvihifadhi na so kuwekewa kwny mfuko wa rambo.
Pia kwa mabachelor inasaidia hususani jioni unaporudi kutupia ma take away hivi e.g kiepe yai au mishkaki flani mingi, burger e.t.c. kwa ajilii ya dinner hivi ghetto.

begi langu ni ofisi yangu,kuna laptop ambayo at the same time ndo maktaba yangu na ndo ofisi kuu,ndan ya begi kuna laptop,chaja,multiplug,some time hata extension- then kuna diary,kalamu,plain papers.
 
Umesahau,Lotion,perfume,deodorant,lipshine,wembe na mafuta ya nywere na big g!!!
 
Back
Top Bottom