Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana mjirekeshe haina haja ya kutembea na begi wakati halina kitu huo ni ushamba tu.
 
Mkuu hilo si suala la ajabu sana.Asilimia kubwa ya watumiaji wa begi hizo huwa na na sensitive materials ambazo zinavutia wizi.pili,bidhaa haramu.So,all in all,wanapunguza attention ya watu.Dunia ya leo kuna portable devices nyingi ambazo begi linarahisisha ubebaji na usalama.Unaweza kumkuta mtu ana kibegi kabeba headphones tu,ila ni beats by dre dukani ni sh laki mbili.ukiweka shingoni huku mitaani ni tabu.na wewe unataka uende nayo maybe beach,uwanjani etc ukaitumie huko uweke kwenye rambo?by the way,wengine tukienda bank na hela nyingi,utatukuta na appearance hiyo hiyo,chini pensi,juu tshirt,mgongoni kibegi,kumbe umejaza hela ya kupaulia nyumba.hata ukiacha kwenye gari hawachukui,ila weka briefcase uone!halafu mbona hamuwasemi wanaobeba briefcase na kuniga tai wakienda ofisini?it's just a matter of choice and style.Mie nikienda benki kibegi,nikienda site kibegi,nikienda gym mazoezini kibegi,wenye uelewa wa maisha wala hawataniuliza kwa nini nabeba.wacheni zenu bhana.
 
Vinabeba unga hivyooooo...! Hasa vijana wanaotoka navyo mae ri ya sinza,mikocheni,upanga na mbezi beach ukiona rasket usiidharau zimebeba mamulion.
 
Mkuu Asante umejaribu kuleta ufafanuzi kuhusu hili, sasa vipi hawa wanaotembea na Vibegi tena havina kitu ndani tuwaite vipi kama sio ulimbukeni.

unajuaje halina kitu? unafuatilia muda wote?
ili iweje?
 
Maada za mahaters hizi.... Unawezaje kuchukia kitu bila sababu?? Badiliken wabongo... Sasa bage ww limekuzuhia nn?
 
Mkuu bora kuwa muwazi, hebu tupe siri ya kutembea na hivyo vibegi.

Iko hivi kwa hapa mjini zaga kibao tunagongana nazo mfano pamba kwa watembezaji, ukikuta kuna sabura unadaka unatupia kiufupi ndiyo kazi ya rasket, ukijumuisha na fasheni kama shwaga wachache tunatupia na laptonga kama siku hiyo u have somrtng to do wth.
 
mkuu ogopa sana hao vijana...ni wezi sana hao..huku mtaani kwetu wapo kibao..wanaiba sana vitu vya watu...hasa kwa huku mtaani nguo zilizo anikwa..kwa huko posta wanaiba sana viatu kwenye nyumba za ibada....au wengine ni wezi wa mifukoni balaa ...sura za wanavyuo zinajulikana lakini wengi wao ni wezi wakubwa....tena wengine wako smart kama wanachuo au watu wenye mishe muhimu sana kumbe wezi wakubwa....Mkuu ukikutana nao au ukipishana nao uwe kimachale machale sana....
 
Kiukweli mm nimiongoni mwao ijapokuwa yangu huwa nabeba kwasababu flani ila sikuhizi navibaka wasimu nao wameshaiga
 
Maada za mahaters hizi.... Unawezaje kuchukia kitu bila sababu?? Badiliken wabongo... Sasa bage ww limekuzuhia nn?
Halijanizuia na haliwezi kunizuia chochote, kilichofanya nihoji ni baada ya kuona kijana amebeba begi lina headphone tu. Huu ni ujanja swaga au fashion.?
 
Nyie above ,40s mbona mnatushambulia hivyo! Mtuache hamjui masaibu yanayotupata smtime gheto hakusomemi ukipita dukani unatupia mandazi ya azam mawili na cola day imepita si fair kubeba hadharani babies wataona.
Duh hilo beg si litakua balaa hadi maandazi.?
Ndio maana nasema huu ni ulimbukeni tu.
 
Last edited by a moderator:
mkuu hivi mtu ajitwishe mbegi cku nzima pasipo sababu yeyote? ila nnachojua mie mjini mishe nyingi ukijaribu wafatilia sana hao vijana mizunguko yao mwisho wa cku utachoka mwenyewe, ukilikuta tupu ujue keshatua mzigo.

Umehitimisha vyema kiongozi!
 
Inategea wala si ushamba, Dar ni mji wa watu wa kila aina wewe ukishangaa hilo Mimi nitakushangaa wewe, sababu Za mtu kubeba begi ni zake mwenyewe. Kwanza haivunji maadiri yeyote, mwingine anabeba begi kuwekea chochote ambacho anaweza kununua huko mtaani, badala ya kubebea mfuko wa Rambo.

Ni kweli kabisa...Kipindi nipo DSM siku ya Jmosi huwa natoka na Begi tupu naelekea K/Koo maana najua nikirudi nimejaza chochote...

Hii inategea mtu na mtu na lengo la mtu kubeba begi..
 
Back
Top Bottom