Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

Umeamua kuwasema watoto wa maskini waliokosa elimu, je wale ambao hawana ajira na wanaipenda ccm wamepotea njia? Kwa hiyo ccm ni chama cha matajiri, wenye elimu na wenye ajira tu,? Kauli zenu kama hizi ndio zinakiponza chama. Basi mshukuruni Mungu kwa kuwapendelea nyie matajiri. Ila hii ni dunia tu.

Aione: Juliana Shonza

Haya majamaa ya CCM yana dharau sana; ukishakuwa humo sio mzee, sio kijana, sio mwanamke, sio mwanamme ni dharau kwa kwenda mbele. Kutengeneza mifumo mibovu ya kuwa-favor watengeneze wao kejeli watufanyie sisi maskini tusiosoma wala tusiokuwa na mali kama wao.

Wala sishangai kama mtumishi wa Ofisi nyeti ya umma (https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...gurumo-rafiki-na-kipenzi-wa-mkuu-wa-kaya.html) aliweza kuonesha jeuri na dharau kiasi kile tena in public mbele ya Tume inayoundwa na Katiba ya Jamhuri basi nchi hii ina tatizo. Sio ajabu kuona vifaranga akina Juliana nao wakita kujiinua nao wafanane na majogoo. Kauli yako hii ni ya kipumba.vu sana Juliana.
 
Last edited by a moderator:
Mtu niliyemfundisha hadi kufungua barua pepe na jinsi ya kuitumia hanipi tabu.Hana nidhamu tu na chuki zake binafsi

Mkuu kumbe !ila anatudharau tuliosoma shule za kata ambazo ccm wametujengea ...Shoza tusaidie na sisi tusome ..tatizo sio uvivu mfumo wa elimu ya nchi yetu ndo umetufanya tulivyo.wengine ..
 
ni kweli kabisa vijana wa UVCCM wanafundishwa sana ili waweze kuwa mafisadi wa kizazi kijacho maana hk kizazi cha kina vijisenti ndo kinapotea hvyo so lazima mfanye juhudi kubwa kuendeleza huu utamaduni.
 
Juliana Shonza
Kwakweli hiki ulichoandika hata mtu asiyemshabiki wa siasa atagundua unauwezo mdogo sana.... Labda ungeandika kwa kiingereza ili utubabaishe tusiojua kiingereza. Put it in Eglish please
 
Last edited by a moderator:
CV yangu unaweza kuigoogle tu.,its that international. Ila kwa kifupi ni kuwa nimemzidi kielimu Mwenyekiti wako, Makamu Mwenyekiti wako, Nimemzidi Naibu Katibu Mkuu wako, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa Uenezi, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa mafunzo, kwa kifupi nimewazidi almost wakurugenzi wenu wote.

Ila hilo ni ni tisa, BAVICHA hakuna hata mmoja mwenye kunifikia kwa CV!

CV sio ishu...CV ya Prof. Muhongo, Tibaijuka si unazijua?...Tatizo uwezo
 
CV yangu unaweza kuigoogle tu.,its that international. Ila kwa kifupi ni kuwa nimemzidi kielimu Mwenyekiti wako, Makamu Mwenyekiti wako, Nimemzidi Naibu Katibu Mkuu wako, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa Uenezi, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa mafunzo, kwa kifupi nimewazidi almost wakurugenzi wenu wote.

Ila hilo ni ni tisa, BAVICHA hakuna hata mmoja mwenye kunifikia kwa CV!

Halafu hyo CV imekusaidia nini kuwazidi hao uliowataja?
 
Ili uwe mwanachadema mnzuri unapaswa uichukie CCM kwa nguvu zako zote, akili zako zote, uwezo wako wote. Ukiweza hayo basi Chadema watakuita kamanda hadi ujihisi upo juu zaidi ya Mwamunyange. Sera kuu ya Chadema ni kuichukia CCM basi.
 
huo utafiti uliofanya, nafikiri mtafiti mwenyewe ni tatizo, jaribu kurudia upya halafu ujitafakari. ila ushauri naona tayari umeshapotea kisiasa, subiri wakati ufike uwe mama wa familia, na Mumgu akusaidie iwe bora, maana kutoka m/mwenyekiti mpaka sasa mshinda kwenye keyboard lazima ujitafakari.
 
Ina maana na wewe ulipokuwa CHADEMA ulikuwa na uwezo mdogo?hebu acha kuandika vitu kama mtoto wa chekechea,kama huna cha kuandika kaa kimya,sometimes silence is wiser. Yealekea hajaamini kuwa nafasi za U-DC zote zimeishajazwa,pole dada
Mkuu tatizo nyie wenzetu mnawaza udc tu CCM ni chama kubwa ni zaidi ya huo udc unaouzungumzia hapa, mimi kwasasa nipo tanuruni naokwa kutengenezwa mazingira yakugombea nafasi mbalimbali na sio kuteuliwa tu .
Tuliza munkari ni suala la muda tu.
 
cv yangu unaweza kuigoogle tu.,its that international. Ila kwa kifupi ni kuwa nimemzidi kielimu mwenyekiti wako, makamu mwenyekiti wako, nimemzidi naibu katibu mkuu wako, nimemzidi mkurugenzi wako wa uenezi, nimemzidi mkurugenzi wako wa mafunzo, kwa kifupi nimewazidi almost wakurugenzi wenu wote.

Ila hilo ni ni tisa, bavicha hakuna hata mmoja mwenye kunifikia kwa cv!

unaweza kuwa na makaratasi mazuri lakini uwezo wa kiuongozi ukawa mdogo,huyu mwenyekiti unayemdharau kapiga hatua sana na chama ndio maana ccm hawaishi kumtaja.mbona hawana habari na mrema?
 
Mkuu tatizo nyie wenzetu mnawaza udc tu CCM ni chama kubwa ni zaidi ya huo udc unaouzungumzia hapa, mimi kwasasa nipo tanuruni naokwa kutengenezwa mazingira yakugombea nafasi mbalimbali na sio kuteuliwa tu .
Tuliza munkari ni suala la muda tu.
Hongera,nafasi za kugombea huwezi kupata kura,credibility imepunguzwa na kuwa sana mitandaoni ,mwisho wa siku nawe utakuwa king of all bloggers.Kuteuliwa fine and I think una uwezo kidogo.
 
Wasira alisema atahakikisha chadema inakufa kufika 2014 . Akachaguliwa kwa kura nyingi kushinda wote pale Ccm Dodoma.
 
Mkuu tatizo nyie wenzetu mnawaza udc tu CCM ni chama kubwa ni zaidi ya huo udc unaouzungumzia hapa, mimi kwasasa nipo tanuruni naokwa kutengenezwa mazingira yakugombea nafasi mbalimbali na sio kuteuliwa tu .
Tuliza munkari ni suala la muda tu.

CCM is an archaic,out of date and ineffective system that need to be weeded out since it delivers very poor results for our country. We need a complete overhaul of the system to make things work for this country.
 
CV yangu unaweza kuigoogle tu.,its that international. Ila kwa kifupi ni kuwa nimemzidi kielimu Mwenyekiti wako, Makamu Mwenyekiti wako, Nimemzidi Naibu Katibu Mkuu wako, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa Uenezi, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa mafunzo, kwa kifupi nimewazidi almost wakurugenzi wenu wote.

Ila hilo ni ni tisa, BAVICHA hakuna hata mmoja mwenye kunifikia kwa CV!

nimesahau kitu hata bakhressa umemzidi na ndesamburo na kusaga,hata bill gates na mark zuckerberg ni college dropouts

papers dont value you but actions
 
Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.

Juliana, ni kweli kwamba vijana wa UVCCM wanayo maarifa zaidi ya vijana wa BAVICHA? Kama hayo mafunzo unayoyasema yanatolewa kwa vijana wa UVCCM na yanaeleweka inakuwaje vijana hao waunge mkono madudu yaliyomo katika "Katiba Inayopendekezwa"? Katiba hiyo inapindua matakwa ya wananchi kichwa chini miguu juu? Na vijana wa BAVICHA unaowabeza wameweza kuliona hili. Wanalipinga kwa dhati. A graduate is a person who can make a difference between facts and opinions in terms of 5W's amd 1H. Tafakari.
 
Back
Top Bottom