Vijana wa buku 2000 hawawezi jua hizi mambo😂

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
Nasikia bado zipo usukumani😂
20250823_135202.jpg
 
Umekaa zako unakuta chuma imetoka nje ya mfumo
Kuna siku niko primary, maticha wanoko walikua hawatuachi salama tusipochomekea.
Sasa mimi kila nikichomekea shati inatoka, nikaona hapa soln ni kuchomekea kwenye TMK wanaume family ili nisipate bugdha, aisee kwanini chuma isipande juu 😂😂.

Niko mbele ya mademu tmk iko juu ndo nimechomekea humo.
 
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom