Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha?

Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe mkiendelea kukaa hapo hapo Dar mtafanywa msingi kiuno

Eti kisa umesoma ndiyo hamji kwenye kilimo? Makima nyie? Infact kama mnataka mali njoeni shambani aisee kima nyie.

" mjini msingi kiuno"
26C6338 betpawa
 
Nimelima mwaka jana nyanya, zikanipiga, nikalima february zikanipiga, nimeweka kitu kingine saiv nategemea kinipige seriously.
Nimepoteza zaidi ya milioni 28 ndani ya mwaka kwa ufupi.
Kilimo si cha maskini. Na mkiingia kwenye kilimo kuweni makini sana hapataki mchezo. Tukutane shambani November.
 
For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha?

Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe mkiendelea kukaa hapo hapo Dar mtafanywa msingi kiuno

Eti kisa umesoma ndiyo hamji kwenye kilimo? Makima nyie? Infact kama mnataka mali njoeni shambani aisee kima nyie.

" mjini msingi kiuno"
Chief God love unatufanya sie wajinga?
 
Ungetumia Busara kuelezea faida yako na jinsi ulivyotengeneza faida kilimo kinajulikana kipo ni mikakati ipi itumike kufikia huko kwenye faida kuliko kuona kila unayeona wewe anafaa kulima kazi zingine nani atafanya za mjini
 
Umelima nini mkuu? Tupe mbinu na sie tutajirike. Mimi nakula hasara kila siku japo ni kitu nakipenda kufanya so siachi.
mkuu kama hutojali share uzoefu wako hivo hivo ulivyoanguka, watu wengi tunapenda kusikiliza mafanikio tunakosa sehem muhim yakujifunza..
 
For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha?

Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe mkiendelea kukaa hapo hapo Dar mtafanywa msingi kiuno

Eti kisa umesoma ndiyo hamji kwenye kilimo? Makima nyie? Infact kama mnataka mali njoeni shambani aisee kima nyie.

" mjini msingi kiuno"
umezungumza jambo zito na la maana sana .

sasa ndugu, mimi betting ndio imenipa kakitu pesa hata nikaweza kupata aridhi na nikafanikiwa kupiga chini msitu wa ekari 10 mwaka jana nikalima mwaka huu nadhani matokeo ya mwaka huu sio mazuri sana lakini si haba nashukuru.

Nimefadhaika sana unapodharau msingi wa kipato changu cha kilimo yaani betting kiasi hiki akati tulikua tukibeti pamoja na muhindi ametunyorosha kwa pamoja kwa muda mrefu.

Yaani umeacha kuzungumzia jambo la maana la Kilimo umeanza kudhihaki kazi na utu wa watu kwasabb tu ya mafanikio yako kutokana na kilimo?

Nimefadhaishwa sana, nimeonewa sana nimeamua kukaa kimya nikiongeza bidii katika betting msimu wa ligi na Kilimo msimu wa mvua.
Asant.
 
For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha?

Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe mkiendelea kukaa hapo hapo Dar mtafanywa msingi kiuno

Eti kisa umesoma ndiyo hamji kwenye kilimo? Makima nyie? Infact kama mnataka mali njoeni shambani aisee kima nyie.

" mjini msingi kiuno"
Kama mdad mzuri unashepu nakushaul uwe mdangaji ntakuwa mteja wako
 
Back
Top Bottom