Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,491
Nili kuwa naongea na mzee fulani, ana sema vijana siku hizi wame legea ka mlenda.Ushatangaza machimbo kuna mtu anaenda kulichukua gono sugu and who knows what else saa hizi.
Most of them Wana shindana kucheza amapiano, kuvuta sigara za kinu, na kuharibu miili yao.