Vijana pigeni kazi, tafuteni pesa, acheni makasiriko

Deportivo la coruna

Senior Member
Aug 16, 2021
141
248
Nimegundua Hilo, wengi wao njaa kali sana ila Sasa Kwa kujitia wajuaji, unajua huwezi kufanikiwa Kwa kumchukia aliefanikiwa, vijana pigeni kaZi tafuteni pesa acheni makasiriko!

Kuna vijana hapa WAO NDIO UTADHANI WAMEANZISHA JF wanajiona ndio wenye haki ya kupost chochote, vijana tokeni magetoni, tafuteni kazi mpige pesa, na kama mna shida ya michongo kujeni pm tuwape direction.

 
Karibia wote, ndio maana unakuta wanashinda JF asubuh hadi usiku kuandika nyuz au comments hazina mbele wala nyuma... Nyuma ya keyboards wapo hawana maisha hawana pesa hawana kazi hawana uhakika wa kula na kulala... Wengi wanaish kwa waume wa dada zao, majirani na ndugu...
 
Nimegundua Hilo, wengi wao njaa kali sana ila Sasa Kwa kujitia wajuaji, unajua huwezi kufanikiwa Kwa kumchukia aliefanikiwa, vijana pigeni kaZi tafuteni pesa acheni makasiriko! Kuna vijana hapa WAO NDIO UTADHANI WAMEANZISHA JF wanajiona ndio wenye haki ya kupost chochote, vijana tokeni magetoni, tafuteni kazi mpige pesa, na kama mna shida ya michongo kujeni pm tuwape direction.


Haya njoon tena hapo kwenye comment
Sawa tunasubiri izo connection
 
Karibia wote, ndio maana unakuta wanashinda JF asubuh hadi usiku kuandika nyuz au comments hazina mbele wala nyuma... Nyuma ya keyboards wapo hawana maisha hawana pesa hawana kazi hawana uhakika wa kula na kulala... Wengi wanaish kwa waume wa dada zao, majirani na ndugu...
khaaah
 
Inaitwa Jamii forum maana yake, Kuna kila Rika, Hadhi kama ilivyo huko mitaani.

Kama unaandika hoja dhaifu na zisizo na mashiko basi tambua huku ni home of great thinker.

Kama ana pesa mpe hongera yake ila atambue yanapokuja maswala ya kutumia akili basi ajue pesa ni takataka.

Nakuja pm unipe mchongo mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom