much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 7,544
- 10,349
Kuna watu bongo zao hazijamature kabisa Hawajui huku uswahilini Tena hapahapa Dar Kuna vidume vina ndoa na Walala kwenye mikekaBaba yako ni Tajiri alipopendwa na Mama yako?
Ndio utajua kuwa Mimi na wewe Nani anaakili za kitoto.
Koo karibu zote TANZANIA NI fukara na zipo na ndoa alafu wewe unajifanya unaakili