Mapenzi ya pesa yameharibu utamu mapenzi

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
Habarini, husika na kichwa cha habari hapo juu.

Toka mapenzi yameanza kuhusishwa na pesa ndio utamu ulipopotea.

Yaani hapa nazungumzia mapenzi yale ya hisia ya kupendana bila kujali pesa. Huwezi zungimza mapenzi bila kusema pesa yaani utamu haupo.

Mwanamke amekuwa akitazamwa kama chombo cha starehe kwa sababu ya pesa kuchanganya mapenzi na pesa. Wanawake wanatumiwa na wanaume kisa tu wanapesa, basi wanawala popote.

Wanawatumia pande zote watakazo maana wamejua wanawake wanataka pesa. Haya yote ni kwakuwa vimechanganywa pesa na mapenzi, hivyo utamu wa mapenzi haupo ule wa kumpenda mtu sio kitu.

Yaani ule utamu halisi wa mapenzi haupo, maana pesa ni tamu na mapenzi matamu.

Kuchanganya mapenzi na pesa ndio kumeharibu uhalisia wa utamu wa mapenzi.
 
Miaka hiyo nipo kijana bado Niko na nguvu zangu niliwahi nunua CHUDDA mmoja maeneo ya magomeni nikaenda kubanjuka naye lodge, asubuhi kulipokucha namuaga nisepe zangu nawahi usafiri wa kuelekea Mwanza, nampa hela yake akanambia hela yako kaa nayo isipokuwa ninakuomba sana nipe namba yako ya simu....nikampa namba nikaondoka.

Kwenye kuchati naye akanambia ananiomba tuwe wapenzi wa kudumu.......nilipohoji juu ya ombi lake akafafanua hivi;

Kuna nyakati ambazo hata Malaya anayejiuza huwa anapata nyeggge na mshawasha wa asilia kutaka kupigwa miti, hii ni tofauti sana na ile ya kugongwa kwaajili ya kuipatia fedha (kipato).

Kwahiyo point yake ilikuwa akiwa na nyeggge za asilia ananipigia tunakutana namkuna weeee akitosheka kila mmoja anashika njia yake.....

Tulienda enda hivo kiaina baadaye akaanza kuleta mambo ya wivu uliovuka mipaka nikampotezea, japo alikuwa chuma Cha maana halafu fundi kwelikweli.....anamwaga maji ova Bomba la Ruvu chini limepasuka shuka chepechepe.

Pesa ikitangulizwa sana mbele ladha ya penzi inapotea.

Una point katika hili.
 
Na kwanini pesa ichukue nafasi ktk mapenzi? Mimi huwa nashangaa sana wanawake wenzangu wanapotanguliza pesa ktk kuanzisha/kuendelea kimahusiano na mwanaume.

Halafu mwanaume anayekupa pesa kwa mashinikizo ya kudumisha penzi wala hakupendi, wanawake wenzangu mnafeli sana.
Mkiweka pesa mbele mnawakosa wanaume bora, ambao msingetanguliza tamaa mngekula mema ya nchi kivulini.

Mwanaume bora ukiweka tamaa ya pesa mbele unampoteza!
 
Kuna mawili kukutumia na kumpoteza...
 
Mapenzi ya wengi siku hizi ni biashara. Unanunua bidhaa...unaitumia utakavyo...unaridhika. Ikikukinai au ukiona imeanza kuchakaa unatafuta bidhaa mpya na bora zaidi...na maisha yanaendelea.

Ila bado wapo mabinti wachache ambao wanajitambua ambao kweli akikupenda anakuwa amekupenda. Ukimbahatisha wa hivyo aisee mshike sana. Mimi nimebahatisha mchumba wa hivyo. Nina bahati sana! 🙏🏿❤️
 
Mapenzi ya wengi siku hizi ni biashara. Unanunua bidhaa...unaitumia utakavyo...unaridhika. Ikikukinai au ukiona imeanza kuchakaa unatafuta bidhaa mpya na bora zaidi...na maisha yanaendelea.

Ila bado wapo mabinti wachache ambao wanajitambua ambao kweli akikupenda anakuwa amekupenda. Ukimbahatisha wa hivyo aisee mshike sana. Mimi nimebahatisha wa hivyo. Nina bahati sana!
Hongera mkuu
 
Miaka hiyo nipo kijana bado Niko na nguvu zangu niliwahi nunua CHUDDA mmoja maeneo ya magomeni nikaenda kubanjuka naye lodge, asubuhi kulipokucha namuaga nisepe zangu nawahi usafiri wa kuelekea Mwanza, nampa hela yake akanambia hela yako kaa nayo isipokuwa ninakuomba sana nipe namba yako ya simu....nikampa namba nikaondoka.

Kwenye kuchati naye akanambia ananiomba tuwe wapenzi wa kudumu.......nilipohoji juu ya ombi lake akafafanua hivi;

Kuna nyakati ambazo hata Malaya anayejiuza huwa anapata nyeggge na mshawasha wa asilia kutaka kupigwa miti, hii ni tofauti sana na ile ya kugongwa kwaajili ya kuipatia fedha (kipato).

Kwahiyo point yake ilikuwa akiwa na nyeggge za asilia ananipigia tunakutana namkuna weeee akitosheka kila mmoja anashika njia yake.....

Tulienda enda hivo kiaina baadaye akaanza kuleta mambo ya wivu uliovuka mipaka nikampotezea, japo alikuwa chuma Cha maana halafu fundi kwelikweli.....anamwaga maji ova Bomba la Ruvu chini limepasuka shuka chepechepe.

Pesa ikitangulizwa sana mbele ladha ya penzi inapotea.

Una point katika hili.
Umenikumbusha mbali ndugu yangu................

🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐
 
Mtaalam mwenyewe🤣🤣
 
Back
Top Bottom