Ukiuliza mafundi wanakwambia na kioo vimepanda beindio hivo mtaalam Al imekua saswsaw na mninga.
Hatari sanaCement 16500-19000 arusha
Hii nyumba haiitaji hata dirisha la aluminum la laki tatu na themanini.. Ni sanda/shuka na geneza tu (kwa wakristo) wa imani nyingine huwa vinapangwa vimiti kwa mwanandani then chepe za kutosha zinafata...nyumba yako ya milele iko kaburini
Mjini Kuna bana kijijini mvua hakuna sijui tukimbilie wapi1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?
Nondo ya 22k wap mkuu...huku kigamboni wanauza 26k..nipe hyo location
Hata enzi za MKapa wakati pesa ni ngumu watu walijenga.1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?