cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,748
- 189,105
Sawa!Sijui
Sawa!Sijui
Umenikumbusha hit ya Mr flavour.Sawale
Tabata kwa wala bataWamehamia goba na madale tabata hamna hela
Pakishamba tu, hizo ni pub sio hata lounge za maana. Kuchoshana tu, kuna muda nilikuwa nakaa huko ila inabidi nishuke mbezi beach kula bata.Goba siku hizi napo pamewaka...Nikija Town nitatembelea pande izo
Wala bata hawana hela tena jamaniWamehamia goba na madale tabata hamna hela