Malcom X ,Che Guevara ,Fidel na Mimi hao wamba wenye historia kubwa na wafuga ndevu mbona hauwaweki ? unajaza wengi wachumia matumbo ambao si kitu kulinganisha na hao wamba..Cyril Ramaphosa
View attachment 2460131
,kujichubua sijui hayo Yako ...Angalizo angalia wapiganaji wengi WA haki za kibinaadamu (wapigania uhuru ambao sio kwa kutaka madaraka walikuwa na ndevu ama la!!wengi walikuwa na ndevu na nywele)# mjingahawezikuelewa