The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,217
- 103,136
Huyo ni mvulana,usimpandishe na kumuweka kwenye kundi la wanaume,Wanaume wa siku hizi Mhhhhh.
Wanaume hatupo hivyo.
Huyo ni mvulana,usimpandishe na kumuweka kwenye kundi la wanaume,Wanaume wa siku hizi Mhhhhh.
Jibu zuri kabisaHuyo ni mvulana,usimpandishe na kumuweka kwenye kundi la wanaume,
Wanaume hatupo hivyo.
Dar mama HiloWanasumbua sana halafu waharibifu Kuna dogo kazaa na wanawake watatu mpaka saizi yaani ana watoto watatu kwa wanawake watatu wakati huo kula yake mwenyewe inamshinda



Kama Mwanaume aliyekamilika hapendi ndevu si kuna Vichocheo vya Kike vinamsumbua.. Angekuw wa Kike ningesema labda ana Dalili za Mimba changa.Mwanaume unaanzaje kufatilia mambo ya mwanaume mwenzako...
Tena asubuhi hii hata chai hujanywa