Mambo vipi wadau ishuvipi lakini.....Daaa wacha niulize kaswali kangu hapa.......Then hili swali nadhani linatuzunguka jamii wote kwaujumla pia nimeona kama desturi fulani au ndio mila au ndio watu wanakwenda wakati........Hivi kwa nini vijana wa sasa hivi wanapenda sana kutongoza mimama nadhani imewazidi zaidi ya miaka 20 alafu wanawatongoza sasa hiyo tuite kwenda na wakati au ndio raha zenyewe hizi??Maana hichi kitu badokidogo kinanichanganya sana sasainabidi tufahamishane maana kama kuna raha ya ziada na sisi tuanze kunyemelea maana sasahivi kila mtu anamkamata wake sasa hapo sijui inakuwaje kwanza..Wadau wenye info tuwekeeni hapa tuchangie na tufahamu basi
Mibaba inatongoza vidada.Change of rolez.
Nahisi na wewe ni kijana mdogo, Kayatafute ukiyapata utarudi HAPA HAPA kuomba ushauri mimi natakupa ushauri na saa ya bure.
Yes sio vijana wanapenda kuchukua ma mama hata wamama wanachukua vijana..kwa kuwa hao wazee wao wanakwenda na vibinti(Msikilize Mwana FA alivyo imba kwa hisia kali kwenye bado nipo nipo kwanza)..sasa change of role ina apply.
Ila haya ma mama kwa kweli ni mazuri usumbufu...kila kitu ontime..wasafi.No mizinga ya hapa na pale na beeping.Full uhuru...tatizo ukisha zoea hata sasa uwezo wako wa kutongoza vibinti unapungua...
Hahaha mkuu sio nikatafute cha muhimu uniambie nini au utoe mchango wa maana basi........Sio nikatafute nadhani hilo sio jibu la topic
Mambo vipi wadau ishuvipi lakini.....Daaa wacha niulize kaswali kangu hapa.......Then hili swali nadhani linatuzunguka jamii wote kwaujumla pia nimeona kama desturi fulani au ndio mila au ndio watu wanakwenda wakati........Hivi kwa nini vijana wa sasa hivi wanapenda sana kutongoza mimama nadhani imewazidi zaidi ya miaka 20 alafu wanawatongoza sasa hiyo tuite kwenda na wakati au ndio raha zenyewe hizi??Maana hichi kitu badokidogo kinanichanganya sana sasainabidi tufahamishane maana kama kuna raha ya ziada na sisi tuanze kunyemelea maana sasahivi kila mtu anamkamata wake sasa hapo sijui inakuwaje kwanza..Wadau wenye info tuwekeeni hapa tuchangie na tufahamu basi
Daaaa mkuu yaani umelenga pale pale na mimi ndio majibu niliyokuwa nasubiria ndio raha za mimama hiyo,Yaani wanakubembeleza kama mtoto mchanga ndio mambo ya kisasa hayo sio kuchukua vibinti alafu vinaanza kukusumbua akili maana ukiwa naye unatulia kabisa hamna tatizo kabisa zaidi ya kula raha tu mabinti hawa kidogo kila ijumaa twende shopping sasa ni nini hiii????
Hakuna cha ajabu katoto Papizo this is towards gender balanced society
BINADAMU WE DIFFER
KIZAZI HIKI MUNGU APISHE MBALI, kuna na wababa wanalea pia, kupata GX 100 nyekundu ni kitu kidogo tu.
THERE IS NO FREE RIDE.
UMENIPATA HAPO AU BADO
Acheni hayo mambo.Baba yako au baba zako wadogo or Mama yako au mama zako wadogo,wajomba au mashangazi utawaangalia kwa jicho gani?Daaaa mkuu yaani umelenga pale pale na mimi ndio majibu niliyokuwa nasubiria ndio raha za mimama hiyo,Yaani wanakubembeleza kama mtoto mchanga ndio mambo ya kisasa hayo sio kuchukua vibinti alafu vinaanza kukusumbua akili maana ukiwa naye unatulia kabisa hamna tatizo kabisa zaidi ya kula raha tu mabinti hawa kidogo kila ijumaa twende shopping sasa ni nini hiii????