Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Hi hope mko poa Sana.

Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.

Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.

Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.

Badirika
Yani kitu hukijui alafu unakiongelea kwa kujiamini aya endelea.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] si wamesema mpaka 2021 so wasiombe au ulimaanisha nn mkuu
Namaanisha waombe ila wasijipe matumaini sana na wasitake wawe sawa na kaka na dada zao walio maliza miaka 5 au hata zaidi ya hapo iliyopita kama watakuwepo

Wajifunze kwa wale wa 2019 in short nimeongea hali halisi ilivyo so kama ni wewe ni mwalimu umemaliza hivi recent au una ndugu yupo kwenye hii kada kamaliza hivi karibuni utanisamehe tu ila hawa mara nyingi wanachukua wa zamani
 
Aisee sisi akina Abeid na hizi koo zetu ndefu tusahau kabisa hizi mambo. Yani IT akiona ukoo kama wangu huu anaupiga chini faster😀😀😀 ubaya hakuna mtu mkubwa yeyote wa ukoo wangu😀😀😀 nimegoogle jina la ukoo wangu nimeishia kujiona mm kuchaguliwa a level, jkt na chuo basi😀😀😀 hakuna mwingine niliyemuona. Hope ningeitwa Mollel saiz ningekuwa nipo kwenye mfumo😀😀😀. Maombi yenu wakuu📝
 
Aisee sisi akina Abeid na hizi koo zetu ndefu tusahau kabisa hizi mambo. Yani IT akiona ukoo kama wangu huu anaupiga chini faster[emoji3][emoji3][emoji3] ubaya hakuna mtu mkubwa yeyote wa ukoo wangu[emoji3][emoji3][emoji3] nimegoogle jina la ukoo wangu nimeishia kujiona mm kuchaguliwa a level, jkt na chuo basi[emoji3][emoji3][emoji3] hakuna mwingine niliyemuona. Hope ningeitwa Mollel saiz ningekuwa nipo kwenye mfumo[emoji3][emoji3][emoji3]. Maombi yenu wakuu[emoji404]
Ndo Nini hii
 
Back
Top Bottom