Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,469
- 11,252
- Thread starter
- #81
Daaa hii nchiMimi sina connection na kipindi nime graduates connection zilikuwepo nyingi tu
Napambana kupoteza hela yangu kutuma maombi posta tena na Ems ,fungua mpka ajira portal [emoji3][emoji3]. Mwenye connection hangaiki
So unakosa unakubali kinyonge tu ipo siku nyengine nitabahatisha wakati ule unakuta kuna watu wapo kitaa miaka 10 na wanakosa ajira mliomba naacha kunung'unika nikijicheki mimi nina mwaka mmoja kitaa nahisi kabisa hapa nakufuru