Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] amemaliza mwaka gan, na Ni masomo gan yakufundishia, siku pdf ikitoka atalia na kusaga meno
Yule jamaa nafikir masomo ya arts mana alikuwa anaongelea sana somo la civics kitu kama hicho
 
Inaweza kuwa kweli ila msituonee wa 2021 jamani lyf ngumu kwa kila mtu, akipata usinune tuwe kama kada zingine walimu tuna choyo sana
Sasa kuhusu suala la kuajiriwa 2021 kama ana vigezo asichukuliwe acheni choyo. Wallah mimi ni 2021 naamini nitapata
Sasa dada angu kwa akili ya kawaida huyu wa 2015 wamuache wakupe wewe 2021 juzi tu hapa umetoka shule hata mwaka mtaani hujafikisha

2021 mtapata ila busara zitatumika zaidi
 
InshaAllah nitapata nakwambia, kama hauamini mimi wa 2021 ntapata niwewe na tutapata uje kutuchinja roho mbayaa imekujaa sasa nikipata wewe roho mbaya ya nini, nikuulize walimu wengi wanataka ajira ziangalie mwaka mbon kada zingine hamna hiyo kitu acheni choyo na roho mbaya ninyi mkiona wa 2021 tumepata ndio mtaanza kutukana serikali wakati kwenye tangazo wamesema 2015 mpaka 2021 jinyonge tuu.
 
La msingi muombe sana ALLAH NA OMBA SANA DUA YA GANJUL ARSHI
 
Connection matters. Kama huna uhakika nyamaza tu mkuu. Ila TAMISEMI connection matters

Ndio maana wajanja wamejipata fursa,wanapiga tu hela kama huyu hapa aliyenitumia hii msg!
IMG_0652.jpg
 
InshaAllah nitapata nakwambia, kama hauamini mimi wa 2021 ntapata niwewe na tutapata uje kutuchinja roho mbayaa imekujaa sasa nikipata wewe roho mbaya ya nini, nikuulize walimu wengi wanataka ajira ziangalie mwaka mbon kada zingine hamna hiyo kitu acheni choyo na roho mbaya ninyi mkiona wa 2021 tumepata ndio mtaanza kutukana serikali wakati kwenye tangazo wamesema 2015 mpaka 2021 jinyonge tuu.
Unaona sasa unavyopaniki roho mbaya imetoka wapi hapo yani kumuonea huruma wa 2015 huyu aliesugua kitaa ndio roho mbaya?

Hapo chini si nimeandika mtapata ila ka mkijua busara lazima itumike
Na ndio iko hivyo siku zote.

We sali kama ulivyosali kwenye hio comment yako majina ya kitoka nitakuja kuquote tena nikukumbushe tupo hapa
 
InshaAllah nitapata nakwambia, kama hauamini mimi wa 2021 ntapata niwewe na tutapata uje kutuchinja roho mbayaa imekujaa sasa nikipata wewe roho mbaya ya nini, nikuulize walimu wengi wanataka ajira ziangalie mwaka mbon kada zingine hamna hiyo kitu acheni choyo na roho mbaya ninyi mkiona wa 2021 tumepata ndio mtaanza kutukana serikali wakati kwenye tangazo wamesema 2015 mpaka 2021 jinyonge tuu.
Relax na weka akiba ya maneno mkuu
 
Unaona sasa unavyopaniki roho mbaya imetoka wapi hapo yani kumuonea huruma wa 2015 huyu aliesugua kitaa ndio roho mbaya ?

Hapo chini si nimeandika mtapata ila ka mkijua busara lazima itumike
Na ndio iko hivyo siku zote

We sali kama ulivyosali kwenye hio comment yako majina ya kitoka nitakuja kuquote tena nikukumbushe tupo hapa
PDF ikitoka atalia na kusaga meno,,,anatoa povu hatari,hajui Kuna watu wametuma maombi mala tano na zote hawakupata
 
Halafu pia mimi niongee ukweli niachage unafki hata ningekuwa mimi nisingeweza kumuacha 2015 nikuchukue wewe 2021 nalifahamu struggle la kitaa lilivyo

Umemaliza shule juzi tu hapa mwezi wa kumi unataka uwe sawa na wenzako how special you are ?

Bora zingekuwa kada nyengine ila walimu muache na ubishi wake
 
Wakonekitie vijana wa humu wanaotoa povu
Mimi sina connection na kipindi nime graduates connection zilikuwepo nyingi tu

Napambana kupoteza hela yangu kutuma maombi posta tena na Ems ,fungua mpka ajira portal [emoji3][emoji3]. Mwenye connection hangaiki

So unakosa unakubali kinyonge tu ipo siku nyengine nitabahatisha wakati ule unakuta kuna watu wapo kitaa miaka 10 na wanakosa ajira mliomba naacha kunung'unika nikijicheki mimi nina mwaka mmoja kitaa nahisi kabisa hapa nakufuru
 
We endelea kucheza fair mkuu. Mwaka juzi Tamisemi walipotangaza ajira za Walimu. Vijana wengi wa jimbo la Kisarawe kwa Jaffo walipata kazi kiulaini. We endelea kua bahili....
 
Halafu pia mimi niongee ukweli niachage unafki hata ningekuwa mimi nisingeweza kumuacha 2015 nikuchukue wewe 2021 nalifahamu struggle la kitaa lilivyo

Umemaliza shule juzi tu hapa mwezi wa kumi unataka uwe sawa na wenzako how special you are ?

Bora zingekuwa kada nyengine ila walimu muache na ubishi wake
Ni ukweli mkuu afu sahivi mtu akikosa eti hawajatenda haki Ila akipata ndo wametenda haki
 
We endelea kucheza fair mkuu. Mwaka juzi Tamisemi walipotangaza ajira za Walimu. Vijana wengi wa jimbo la Kisarawe kwa Jaffo walipata kazi kiulaini. We endelea kua bahili....
Mmm mawaziri wanajiingizia majina
 
Back
Top Bottom