Abeid L Msanganzila
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 177
- 392
Ndio ukweli huo. PDF ikitoka ukaliona jina langu hili refu basi nitafte unipige faini📩Ndo Nini hii
Ndio ukweli huo. PDF ikitoka ukaliona jina langu hili refu basi nitafte unipige faini📩Ndo Nini hii
Mkuu ni bora ungenyamaza tu.... hii nchi ina wenyewe na hakuna kinachoshindikanaHi hope mko poa Sana.
Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.
Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.
Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.
Badirika
Linatoka lini mkuuNdio ukweli huo. PDF ikitoka ukaliona jina langu hili refu basi nitafte unipige faini📩
Mkuu sijui ila nahis yanaweza toka mwezi wa saba bt kuripoti nadhani n mwezi wa tisaLinatoka lini mkuu
Wenyewe wapi, na wenyewe hao watoto wao hawategemei ajira za TamisemiMkuu ni bora ungenyamaza tu.... hii nchi ina wenyewe na hakuna kinachoshindikana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mkuu sijui ila nahis yanaweza toka mwezi wa saba bt kuripoti nadhani n mwezi wa tisa
Very sorry mkuu! Mimi ni elfu mbili na 19 ila naona nimekaa sana! Sasa we si itakuwa balaa. Mungu akusaidie mkuu huu mwaka uwepo PDF📁📁📃📃. Naimani utatoboa vzr tu! AminaHzo connection ziko wapi nmesota mtaani eti nmesota sana, 2016? Dah ee Mungu😥
Huyo katoa ndogo, itakuwa haina madalali hiyo moja kwa moja anaichukua mkubwa zile za madalali ni ndefu mara tatu ya hapo.😳 yote hii? halafu vitu vije kwenda vice versa akose aloo
Wengine wanaliwa Sana tu, afu PDF ishaandaliwa, na kukamilika kitamboJuzi shoganga katoa laki 5 ili apate posti za ualimu,ukweli ni kua rushwa na koneksheni zipo Sana tu!!yaani michezo Pesa tu
Wengine wanaliwa Sana tu, afu PDF ishaandaliwa, na kukamilika kitamboJuzi shoganga katoa laki 5 ili apate posti za ualimu,ukweli ni kua rushwa na koneksheni zipo Sana tu!!yaani michezo Pesa tu
Huyo jamaa alikuwa anasema huwezi pata kazi bila connectionSasa si unaona teali ume confirm kuwa connection zipo [emoji28] [emoji28] connection matters mzee..
Yaani mtu anatoa 1.5m, inamaana baada ya mkeka kukamilika bado Kuna watu wanaweza kuondoa baadhi ya majina na kuweka yaoHuyo katoa ndogo, itakuwa haina madalali hiyo moja kwa moja anaichukua mkubwa zile za madalali ni ndefu mara tatu ya hapo.
Mwaka 2020 Kuna mtu alitoa 1m akapata, 2021 akamdirect mtu, na kutoa 1m, huyo mtu akakosa[emoji2][emoji2][emoji2]Juzi shoganga katoa laki 5 ili apate posti za ualimu,ukweli ni kua rushwa na koneksheni zipo Sana tu!!yaani michezo Pesa tu
Yanatoka mwezi huu June mwishoni kuanzia tarehe 20Mkuu sijui ila nahis yanaweza toka mwezi wa saba bt kuripoti nadhani n mwezi wa tisa
Hadi PDF itoke mtakuwa mmechoka sanaaa[emoji119][emoji119][emoji2532][emoji119] DAAAH TAMISEMI WATOE TU HIYO PDF MANA MANENO YASEMWAYO NI MENGI
Maneno gani mkuu?[emoji119][emoji119][emoji2532][emoji119] DAAAH TAMISEMI WATOE TU HIYO PDF MANA MANENO YASEMWAYO NI MENGI