Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Ajira zinakua prosseced na utumishi,TAMISEMI wanapelekewa majina tu
 
Jamani mbona watu huwa mnadanganyana sana.

Utumishi wanaweka vigezo tu. Tamisemi ndio wanateua timu maalumu inayoamua nani aingie nani atoke.

Ajira za Magufuli connection zilikuwa nyingi sana, ila zilizotolewa na Samia mwaka jana around mwezi wa tano au wa sita walijitahidi sana kupunguza kujuana.
 
Ndo maana nasema Connection hamana, lakini connection zilipunguzwa na Ummy Mwalimu na Prof Shemdoe, Jafo na Eng. Nyamuhanga walifanya Tamisemi iwe ya kijinga Sana
 
Hi hope mko poa Sana.

Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.

Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.

Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, ATA mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.

Badirika
Kuna wakulungwa wanapiga rafu kote kote
 
Ndo maana nasema Connection hamana, lakini connection zilipunguzwa na Ummy Mwalimu na Prof Shemdoe, Jafo na Eng. Nyamuhanga walifanya Tamisemi iwe ya kijinga Sana
Ni kweli wamejitahidi kupunguza, lakini kumaliza kabisa ni suala ambalo haliwezekani.

Connection zipo na zitaendelea kuwepo. Hata kama ungekuwa ni wewe unaye mfano mdogo wako anasota na una nafasi ya kumuingiza lazima ungemuweka tu.
 
Haiwezekani ajira 9800 wote wapate wenye connection, sema Kama connection ni majina 20 tu
Watanzania wengi wana hizo mindset.

Kuna ishu za connection ila sio hizi,hizi ni mara chache sana.

Kuna wwtu na2afahamu walifanya maombi mwaka juzi ile kama sikosei na hawana connection wamepata shule.

Kuna mtu mmoja mtu wa kusini kamqliza mwalim nyerere kigamboni degree ya ualimu,hata connection yyte mwishho wa siku hakupuuza kapata kazi.

Alafu watanzania waelewe kwamba watu wenye connection za kweli hawaweI peleka watoto wao aama ndugu zao ualimu,ni wachache sana.

Watu wafanye maombi aisee.

Kinachofanyika ni haki tupu,kujuana kupo ila sio kwa kiasi ambacho watanzania wanaaminishana.

Unaweza kukuta katika watu 1000 walioingia kwa connection ni 50 tu.
 
Alafu watu wasidanganyike kutoa hela kwa wakuu wa shule wakuu wa shule wao waliobiwa watume majina ya wanaojitolea lakini si kwamba ndo wanamandeti ya kutoa ajira
 
Wakuu wa shule hawana koneksheni yoyote wale njaa kali tu,wanaweza kukusaidia kupata hiyo barua lakini hiyo barua haina mahisiano na konekshen.

Lakini still hata kama mtu ana koneksheni bado atatakiwa afanye application tu so mwenye koneksheni na asokuwa nayo wote wanafanya maombi.

Na huyo mwenye koneksheni lazima akidhi vigezo
 
Hi hope mko poa Sana.

Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.

Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.

Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, ATA mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.

Badirika
Unasemaje!!!...Unaijua kanzidata ya ajiraportal kwanza? Unajua kazi yake? Siku ukiona zimetangazwa nafasi tatu za afisa kilimo kisha ukajakuona tangazo la kupangwa kazi watu8 na maelezo kuwa majina hayo ni ya waliokuepo kwenye database na waliofaulu usahili wa zile nafasi tatu, hapo ndipo utajua hujui hii nchi.
 
Unasemaje!!!...Unaijua kanzidata ya ajiraporta kwanza? Unajua kazi yake? Siku ukiona zimetangazwa nafasi tatu za afisa kilimo kisha ukajakuona tangazo la kupangwa kazi watu8 na maelezo kuwa majina hayo ni ya waliokuepo kwenye database na waliofaulu usahili wa zile nafasi tatu, hapo ndipo utajua hujui hii nchi.
Hizo Ni za ajira portal
 
Wakuu wa shule hawana koneksheni yoyote wale njaa kali tu,wanaweza kukusaidia kupata hiyo barua lakini hiyo barua haina mahisiano na konekshen.

Lakini still hata kama mtu ana koneksheni bado atatakiwa afanye application tu so mwenye koneksheni na asokuwa nayo wote wanafanya maombi.

Na huyo mwenye koneksheni lazima akidhi vigezo
Mtu akishapata vyeti vya ku graduate ualimu Basi ana vigezo,,,
 
Unasemaje!!!...Unaijua kanzidata ya ajiraportal kwanza? Unajua kazi yake? Siku ukiona zimetangazwa nafasi tatu za afisa kilimo kisha ukajakuona tangazo la kupangwa kazi watu8 na maelezo kuwa majina hayo ni ya waliokuepo kwenye database na waliofaulu usahili wa zile nafasi tatu, hapo ndipo utajua hujui hii nchi.
Mmm
 
Toeni majina ya uhamisho basi, au mnasubiri hiyo rushwa...?
 
Unaona sasa unavyopaniki roho mbaya imetoka wapi hapo yani kumuonea huruma wa 2015 huyu aliesugua kitaa ndio roho mbaya ?

Hapo chini si nimeandika mtapata ila ka mkijua busara lazima itumike
Na ndio iko hivyo siku zote

We sali kama ulivyosali kwenye hio comment yako majina ya kitoka nitakuja kuquote tena nikukumbushe tupo hapa
Sisi tuluomaliza 2020 ajira za mwaka Jana hakuchukuliwa hata mmoja, mwisho walichukua 2019 tena kwa masomo ya physics japo wengine waliachwa!.
 
Hi hope mko poa Sana.

Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.

Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.

Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.

Badirika

Wewe sema tu huna hela...waache wenye hela watumie
 
Back
Top Bottom