Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Make hapo kwanza ncheke.

Nakumbuka ajira za 2021 kuna mdada alimaliza 2019 alipata ajira huo mwaka ila kwenye pdf alionekana eti kamaliza 2016.

Nikajua tayari rupia ishapenyezwa kwenye uzia.

Kiufupi loopholes zipo sana tu
 
Hii ilikuwa Sana Kuna mmoja alimaliza 2020 na alipata hizo ajira alafu kwenye PDF akaandikiwa amemaliza 2015
 
Na namba yake ya form four, waliibadilisha maana namba ya form four inaonekana, Ila na Tamisemi wajinga wakitaka wasigundulike wangepanga Kam za 2020 hakuna kuweka mwaka wa kuhitimu[emoji2]
 
Make hapo kwanza ncheke.

Nakumbuka ajira za 2021 kuna mdada alimaliza 2019 alipata ajira huo mwaka ila kwenye pdf alionekana eti kamaliza 2016.

Nikajua tayari rupia ishapenyezwa kwenye uzia.

Kiufupi loopholes zipo sana tu
Na Halimashauri wanapokelewa fresh bila shida?
 
Hi hope mko poa Sana.

Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.

Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.

Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.

Badirika
Kwani li PDF lina mwagwa lini..?? Wale ambao hatuna connection Mungu wetu awe na sisi tuvuke
 
Make hapo kwanza ncheke.

Nakumbuka ajira za 2021 kuna mdada alimaliza 2019 alipata ajira huo mwaka ila kwenye pdf alionekana eti kamaliza 2016.

Nikajua tayari rupia ishapenyezwa kwenye uzia.

Kiufupi loopholes zipo sana tu
Ummy Mwalimu alivyokuwa anaropoka mwaka Jana eti hakutakuwa na kimemo chochote[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom