Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,469
- 11,252
- Thread starter
- #21
Jipendekeze Ila PDF ikitoka utalia na kusaga menoKwani hizi nafasi UvCCM inamatter nianze kujipendekeza mwakani nisikose wakuu
Jipendekeze Ila PDF ikitoka utalia na kusaga menoKwani hizi nafasi UvCCM inamatter nianze kujipendekeza mwakani nisikose wakuu
JidanganyeJambo usilolijua ni sawa na usiku wa ....!
Not easy kwamba 9800 wote watapatikana kwa connectionKama ilivyo ada,koneksheni zinafanya kazi sana,itashangaza mtu wa 2021 anapata,wa 2016 anaachwa na sifa ni zilezile.Tanzania ya koneksheni ingawa watapata hata ambao hawana koneksheni japo wachache.
Mkuu walimu wote Wana sifa, hayo Mambo ya umri, mwaka wa kuhitimu, Ni vigezo vya kupunguza watu Kama wewe Ni physics ushapata Ila Kama Ni masomo mengine 2021 kazi ipoInaweza kuwa kweli ila msituonee wa 2021 jamani lyf ngumu kwa kila mtu, akipata usinune tuwe kama kada zingine walimu tuna choyo sana
Sasa kuhusu suala la kuajiriwa 2021 kama ana vigezo asichukuliwe acheni choyo. Wallah mimi ni 2021 naamini nitapata
Ila Ni kweli nafasi 9800 nyingi ata connection zikiwa 2000 bado nafasi zinabaki 7800 daa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kijana wa mto wa mbu connection zipo 100%
sema kuna nafasi nyingi ivo haziwezi isha kwa connection watu 10000 ni wengi ila zipo sana
shida ni je upo njia sahihi
Tamisemi hakuna connection
20?????? Tu??. Tanzania hi hii?. Thubutu. Hapo kati 9800 watakaopita kwa haki ni 20 tuHaiwezekani ajira 9800 wote wapate wenye connection, sema Kama connection ni majina 20 tu
Tamisemi hakuna connection
[emoji848]Tamisemi hakuna Rushwa
Siyo wote,ila wengi wa koneksheni,wamekonektiwa.Utaona hapo wa 2016,17 wanabaki na 2020,2021 wanachukuliwa wakati sifa zinalingana.Not easy kwamba 9800 wote watapatikana kwa connection
Kufikia kwenye comment yako nimegundua umeleta mjadala kijanja ili upime upepo,yaani umeongea usichokijua ili wanaokijua walete majibu...fala mjamja sana wewe.Ila Ni kweli nafasi 9800 nyingi ata connection zikiwa 2000 bado nafasi zinabaki 7800 daa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Uongo mkubwaaaaa, watu wa sayansi wanapata bila hizo connection20?????? Tu??. Tanzania hi hii?. Thubutu. Hapo kati 9800 watakaopita kwa haki ni 20 tu
Wadau wa Omurushaka, Kayanga, Kaisho, Karagwe town so watapata kazi maana ndo jimbo la bashungwaWewe usiseme hivyo kuna mtu alipata kazi kimya kimya ya ualimu na wala hazikutangazwa acha ya hivyo, unahisi wadau wa wazir husika wa jimboni kwake atakosa kuwapitisha uanadhani,usijidanganye wallah
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watu wanatoa rushwa kwenye tahasisi ya kuzuia na kupambana na rushwaWatu wanahonga hadi takukru na wanapata shavu sembuse huko