Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Siyo wote,ila wengi wa koneksheni,wamekonektiwa.Utaona hapo wa 2016,17 wanabaki na 2020,2021 wanachukuliwa wakati sifa zinalingana.
Sasa Kama sifa zinalingana Kuna ubaya gani kuwachukua na wa 2021
 
Hi hope mko poa Sana.

Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.

Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.

Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, ATA mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.

Badirika
Mkuu, ni Badilika sio badirika
 
Duuuh! kwahiyo huoni kwamba wa 2015 kakaa muda mrefu bila ajira Kuliko huyo aliyemaliza 2021,au busara na vingine huna?
Mbona kwenye kada nyingne huo ujinga hamna
 
Yaani mmeshindwa kumuelewa anamaanisha nini...
na dau kawakea kabisa la kupata kazi.....
 
Siyo wote,ila wengi wa koneksheni,wamekonektiwa.Utaona hapo wa 2016,17 wanabaki na 2020,2021 wanachukuliwa wakati sifa zinalingana.
Wao wametangaza wenye vigezo Ni wale waliomaliza kuanzia 2015-2021 kwa hiyo akichaguliwa wowote wa mwaka wowote nisahihihi,hicho kigezo Cha muda wa kumaliza kimeandikwa wapi? Au umejitungia?
 
Back
Top Bottom