Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,475
- 11,255
- Thread starter
- #641
Niliwaambia wakabishaTuseme ukweli tu connection za Tamisemi ni ngumu sana, kama alivyotabainisha mleta uzi.
Kuna dogo kaka yake ni mkurugenzi wizarani Tamisemi. Na katibu mkuu wa wizara ni rafiki yake sana na kaka yake, alikuwa anadai ajira yeye uhakika lakini kwa sasa angalia na kusaga meno.