Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Mkuu embu fafanua basi tupate A B C kidogo mana kuna kajamaa kamoja kanajisifu kuwa kuna mtu wake mkubwa sana uko majuu kwa iyo hana wasiwasi kabisa juu ya hizo nafasi anacheka tu mda wote
Uyo chalii kapata
 
Haya huu uzi tuufunge kwa muda mpaka ajira zingine zitakapotangazwa, tutakuja kuufunga rasmi mwaka 2040.

Kuna mtu anasoma huu uzi leo atapata ajira 2040. Niko hapa mtaniambia tuombe uzima.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Yule shost angu kakosaa,daah
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]niliwaambiaje? Lakin atakuwa kaumia Sana maana hela imeenda
 
Acha kabisaa yaani
 
500k walikua wawili,kwanza alivoskia tamisemi imeungua akasema hapa nshafeli,nilimkataza mnoo kutoa Pesa,hua siaminj kwenye rushwa makazini
Huyo aliyempa si amrudishie
 
Back
Top Bottom