Mwamba 3
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 253
- 285
Duh! Huenda ningekuwemo piaMkuu naweza kupatia majina 10 hapa, mkeka ukitoka yasipokuwepo basi nitakupa simu yangu . UVCCM DAIMa
Duh! Huenda ningekuwemo piaMkuu naweza kupatia majina 10 hapa, mkeka ukitoka yasipokuwepo basi nitakupa simu yangu . UVCCM DAIMa
Kuna Dada kazungushwa na UVCCM wake baada ya mkeka kutoka , analialia tuSidhan, kwamba UVCCM wanapewa priority,,,,PDF ikitoka hawataamini
NDuh! Huenda ningekuwemo pia
Atakuwa analamba asaliZakia yupo wapi jamani
Inaweza ikawaAtakuwa analamba asali
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mkiambiwa vitu muwe mnaelewaKuna Dada kazungushwa na UVCCM wake baada ya mkeka kutoka , analialia tu
Alipigiwa na kitu kizito kichwani [emoji3]Zakia yupo wapi jamani
Daah hatari [emoji16]Alipigiwa na kitu kizito kichwani [emoji3]
MmmSubirini pdf acheni kuropoka
Nawakumbusha tena hakuna connection TamisemiHi hope mko poa Sana.
Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.
Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.
Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.
Badirika
Hivi yupo kweli bi dadaZakia yupo wapi jamani
Mwaka huu hatoiYule shost angu kakosaa,daah
Uliamini?Connection matters. Kama huna uhakika nyamaza tu mkuu. Ila TAMISEMI connection matters
Ukiwa huna connection ni rahisi kutamka hivi ila nakuhakikishia njia zipo na watu wanapita .Hi hope mko poa Sana.
Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.
Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.
Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.
Badirika
Hakuna tuzo ya utesekaji broUnaona sasa unavyopaniki roho mbaya imetoka wapi hapo yani kumuonea huruma wa 2015 huyu aliesugua kitaa ndio roho mbaya ?
Hapo chini si nimeandika mtapata ila ka mkijua busara lazima itumike
Na ndio iko hivyo siku zote
We sali kama ulivyosali kwenye hio comment yako majina ya kitoka nitakuja kuquote tena nikukumbushe tupo hapa