mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,673
sio bure hawa tamisemi wana hidden agenda[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
sio bure hawa tamisemi wana hidden agenda[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Waziri yuko mpirani itoshe kusema n kesho.sio bure hawa tamisemi wana hidden agenda
Bashungwa yuko bize uwanja wa sokoine akiwakabidhi ubingwa yangaKama hawapo vile[emoji16][emoji16]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] KumekuchaHuu uzi nasikia harufu ya chaki tu
Na ndiyo wamesalitiana na kukubaliana kumbe konekisheni zipo....[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kumekucha
Siyo walimu hata sisi EN tuombeeNiwatakie kila raheli, Mungu awabariki walimu wote View attachment 2272479
Kaka Mto wa mbu naona waeisaliti tarehe yangu 27Niwatakie kila raheli, Mungu awabariki walimu wote View attachment 2272479
Vijana nadhani mmeeleaa hakuna connection TAMISEMIHi hope mko poa Sana.
Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.
Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.
Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.
Badirika
Kabisa.Vijana nadhani mmeeleaa hakuna connection TAMISEMI
Ili nyie usalama mumkamateKabisa.
Kama yupo aliyepata ajitokeze na mwaka aliomaliza na somo bila jina lake
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Yalokuwa yanasubiriwa yamejiri. No one is ready to expose himself/ herself.Vijana nadhani mmeeleaa hakuna connection TAMISEMI
Usitegemee hili. Hakuna mtu mjinga wa kiasi hicho cha kujiweka bayana humu.Kabisa.
Kama yupo aliyepata ajitokeze na mwaka aliomaliza na somo bila jina lake
Koneksheni haijawahi kukosa popote. Ukiangalia pdf hata kwa akili ndogo utalibaini hilo hasa kwa walimu wa Art.Kabisa.
Kama yupo aliyepata ajitokeze na mwaka aliomaliza na somo bila jina lake
Kweli mfano mwalimu wa geography wa 2021 kapewa kazi huku wa 2015 akiachwaKoneksheni haijawahi kukosa popote. Ukiangalia pdf hata kwa akili ndogo utalibaini hilo hasa kwa walimu wa Art.
[emoji16][emoji16][emoji16]Ili nyie usalama mumkamate