Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,471
- 11,252
- Thread starter
- #561
[emoji2]Ajira ni mwezi Wa saba. Naweka dau
[emoji2]Ajira ni mwezi Wa saba. Naweka dau
Keshoobado bila bila *****
ngoja tuwasikizie satisa tisaKeshoo
Leo ishabuma mzee babangoja tuwasikizie satisa tisa
Ikifika kesho utasema jpiliKeshoo
😂😂Leo ishabuma mzee baba
Wenye koneksheni za ukweli wameambiwa wasiseme chochote wasije wakaharibu. Tumebaki sisi waomba Mungu.Kweli nimeamini hakuna mwenye connection ya maana, kila mtu anabahatisha,[emoji23][emoji23][emoji23]
We don't need dau( money) we need your soul . Do we have a deal ?Ajira ni mwezi Wa saba. Naweka dau
Ajira zikitoka kuna watu wengi sana watapata na depressionWenye koneksheni za ukweli wameambiwa wasiseme chochote wasije wakaharibu. Tumebaki sisi waomba Mungu.
Hivi unadha mtu awe na connection ya ukweli afu ajitangaze, neverKweli nimeamini hakuna mwenye connection ya maana, kila mtu anabahatisha,[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]Hadi lile pori tengefu likae sawa ndo watatangaza serikali ipo huko
Tupo wazoefu wa kukosa mioyo ishakuwa sugu toka 2015 ni miaka 7 sasa tushaomba na kukosa sana tu. Ambao hawajazoea kukosa ndo hao hata hamu ya kula watakosa....hahaaaaaaAjira zikitoka kuna watu wengi sana watapata na depression
Nasubiri uzi tangazo utakavyokuwa kuwa na vishindo
mzigo una loadView attachment 2270717
Mkuu kusubiri majina ni kama vile kusubiri matokeo hamna uzoefu hapo hata kama uwe t.o lazima tumbo kwanza likuume kabla hujafungua pdfTupo wazoefu wa kukosa mioyo ishakuwa sugu toka 2015 ni miaka 7 sasa tushaomba na kukosa sana tu. Ambao hawajazoea kukosa ndo hao hata hamu ya kula watakosa....hahaaaaaa
Duu mnakaba poteMmmh ivi awezitokea mtu kapata tamisemi na utumishi wakamuita pia
Wengine washatonywa vituo wanavyoendaMkuu kusubiri majina ni kama vile kusubiri matokeo hamna uzoefu hapo hata kama uwe t.o lazima tumbo kwanza likuume kabla hujafungua pdf
😂😂Leo ishabuma mzee baba
hakuna mdhoefu wa msoto mkuuTupo wazoefu wa kukosa mioyo ishakuwa sugu toka 2015 ni miaka 7 sasa tushaomba na kukosa sana tu. Ambao hawajazoea kukosa ndo hao hata hamu ya kula watakosa....hahaaaaaa