At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,566
- 3,642
Si wamesema wanaangalia umri + ulemavuKweli mfano mwalimu wa geography wa 2021 kapewa kazi huku wa 2015 akiachwa
Si wamesema wanaangalia umri + ulemavuKweli mfano mwalimu wa geography wa 2021 kapewa kazi huku wa 2015 akiachwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kabisa.
Kama yupo aliyepata ajitokeze na mwaka aliomaliza na somo bila jina lake
PoleJambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Yalokuwa yanasubiriwa yamejiri. No one is ready to expose himself/ herself.
Ukute ana umri mkubwaKweli mfano mwalimu wa geography wa 2021 kapewa kazi huku wa 2015 akiachwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pdf haijawahi kuwa rafiki wa jobless.
[emoji1787][emoji1787]Binamu yangu kapigwa 500k
]
Uongo mtupu,watu walomaliza 2013,2015 wamekosa wamepata wa 2022Si wamesema wanaangalia umri + ulemavu
Tusio na connection na tuna umri mkubwa tumejua kuisoma nambaUkute ana umri mkubwa
Kuna alimaliza 2022???Uongo mtupu,watu walomaliza 2013,2015 wamekosa wamepata wa 2022
Tamisemi ya sasa imekua ovyo bora hata ile kwa ummy walijitahidi
Mpe pole kwakweliBinamu yangu kapigwa 500k
]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji848][emoji2][emoji2][emoji848][emoji2][emoji2]Binamu yangu kapigwa 500k
]
Watu walikuwa wanabishia ujingaUzi ufungwe
[emoji2][emoji3]hakuna connection TamisemiTusio na connection na tuna umri mkubwa tumejua kuisoma namba
Mungu anawaona hao wapanga majina!
Enasikitisha sana[emoji2][emoji3]hakuna connection Tamisemi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji43][emoji43][emoji2]Tuseme ukweli tu connection za Tamisemi ni ngumu sana, kama alivyotabainisha mleta uzi.
Kuna dogo kaka yake ni mkurugenzi wizarani Tamisemi. Na katibu mkuu wa wizara ni rafiki yake sana na kaka yake, alikuwa anadai ajira yeye uhakika lakini kwa sasa angalia na kusaga meno.