Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,219
Hao sawa hawana MteruWengine washatonywa vituo wanavyoenda
Hao sawa hawana MteruWengine washatonywa vituo wanavyoenda
[emoji12]Tarehe 27 June watatoa majina... Mtulie sasa
Kwamba utabiri wako unanukia[emoji2]
[emoji23][emoji23]Kwamba utabiri wako unanukia[emoji2]
Waachie mambo ya kuwatesa waombaji sio poa
Leo hii Uzi unafungwaWatoe ajira tuache udalali bila mitaji
bdo tamisemi wamekaza fuvuLeo hii Uzi unafungwa
Kama hawapo vile[emoji16][emoji16]bdo tamisemi wamekaza fuvu
May be kesho au jionbdo tamisemi wamekaza fuvu
Bashungwa yupo slow every whereKama hawapo vile[emoji16][emoji16]
Tuwe wapole tuBashungwa yupo slow every where
Hizo mambo kupigwa ni inshu ndogo hasa Kama huna ndugu ila siku ikijibu ndio mnasema huyo fisadi sijui mwizi,majina yote mnamaliza kumbe watu wanazirudisha.Toa Ela upate Ela.Ukipigwa kwenye kutafuta connection usiumie inshu ya kawaida Kama Kubeti tu.Mie sio Mwalimu Ila watu wengi wanapigwa hela kishamba sana
Sawa wenye connection zenuHizo mambo kupigwa ni inshu ndogo hasa Kama huna ndugu ila siku ikijibu ndio mnasema huyo fisadi sijui mwizi,majina yote mnamaliza kumbe watu wanazirudisha.Toa Ela upate Ela.Ukipigwa kwenye kutafuta connection usiumie inshu ya kawaida Kama Kubeti tu.
Fuvu tena[emoji23][emoji23]bdo tamisemi wamekaza fuvu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Huyu waziri ni mzigo