Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,220
[emoji90][emoji90][emoji867][emoji867][emoji867]Kama watawemo maana nasikia Ni connection mwanzo mwisho
[emoji90][emoji90][emoji867][emoji867][emoji867]Kama watawemo maana nasikia Ni connection mwanzo mwisho
Khaaa Mimi niwe na roho na. Ajira inamaana mishahara ya kulipa watumishi hela naitoa Mimi,,,kwamba Wewe ukipata ajira dili zangu zitayumba,,,,NgombeHii dunia kuna watu wana roho mbaya
Mbususu[emoji90][emoji90][emoji867][emoji867][emoji867]
Tarehe 27 June watatoa majina... Mtulie sasaHawa jamaa hawatoi pdf letu mpaka saaizi, au ndio wanatunyofoa nyofoa watoto wa wakulima wa nanjinanji tusio na connection yeyote
Haya muheshimiwa waziriTarehe 27 June watatoa majina... Mtulie sasa
Fanya wewe na huyo jamaa wa hapo juu mbeti aisee20/06
Haaa nilikosea Ni 24Fanya wewe na huyo jamaa wa hapo juu mbeti aisee
24 nini? Dhakar auHaaa nilikosea Ni 24
Ndo mkeka utatoka24 nini? Dhakar au
Ng'ombeKwahiyo waziri mwenye dhamana kakutuma uje utuaminishe hilo??
Kwanza mtoto wa waziri na hilo lidudu tamisemi wapi na wapi??
Vigezo vipi wametumia20 June kinafanyika kikao cha mwisho kuhakikisha kwamba selection imezingatia vijijini. Tarehe 20 hiyohiyo June KATIBU Mkuu akiridhishwa ataitisha vyombo vya habari siku ya jumanne 21. Saa 7 mchana akisha maliza mkutano na vyombo vya habari mkekaa utaachiwa saa kuanzia 12 jioni siku hiyo hiyo.
Siki kumi na nne za kuripoti kama kawaida.
Hivyo ndugu zangu waalimu muandae NAULI. Tarehe 21 hadi 5 Julai muda wa kuripoti.
Omba MUNGU jina lako lirudi tu.
Kila la heri Ndugu watumishi wa umma.
Save hii comment ili uje uniambie UTABIRI WANGU umenyooka au la!.
Haaaaa kwamba selection zilifanywa bila kuangalia vijiji, kwa tarifa yako kila shule/kituo Cha afya kilichoonekana kwenye mfumo kitapata Mtumishi,afu PDF ilikamilika since 19/0520 June kinafanyika kikao cha mwisho kuhakikisha kwamba selection imezingatia vijijini. Tarehe 20 hiyohiyo June KATIBU Mkuu akiridhishwa ataitisha vyombo vya habari siku ya jumanne 21. Saa 7 mchana akisha maliza mkutano na vyombo vya habari mkekaa utaachiwa saa kuanzia 12 jioni siku hiyo hiyo.
Siki kumi na nne za kuripoti kama kawaida.
Hivyo ndugu zangu waalimu muandae NAULI. Tarehe 21 hadi 5 Julai muda wa kuripoti.
Omba MUNGU jina lako lirudi tu.
Kila la heri Ndugu watumishi wa umma.
Save hii comment ili uje uniambie UTABIRI WANGU umenyooka au la!.
Huyo hajui kitu anakupiga kamba tuVigezo vipi wametumia
Tutoe Rushwa, Ila duniani kila kitu Ni connection, ata JPM alisema hasingekuwa raisi bila Ya KikweteWanangu tushacheza sana fair na hakuna matokeo, basi tucheze rafu tu!! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ila sijasema tutoe rushwaa, but wewe fanya ufanyavyo, upate kazi!
Ni kweli ila Mjini ushindani si ndo vile japo ilitokea ila kwa neema kutoboa kupo. Ila ndo hivyo jumatatu taarifa ya vyombo vya habari kuitwa na Ndugu KATIBU Mkuu TAMISEMI ni uhakika iyoHaaaaa kwamba selection zilifanywa bila kuangalia vijiji, kwa tarifa yako kila shule/kituo Cha afya kilichoonekana kwenye mfumo kitapata Mtumishi,afu PDF ilikamilika since 19/05