Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Najua nnachokisema wew..uzuri humu hatujuani...na itakua ngumu ku prove...na hata ingewezekana nisingefanya ivo..maana mtoa connection angeniona fala...na yuko humuhumu ingawa majukwaa ya huku hafikagi
Mkuu connection zipo nyingi Sana lakini connection za ukweli Ni chache , Kama connection yako ya ukweli ashapata,

Tz waziri yeyote akikupa connection ushapata
 
Yupo jamaa angu alikuwa na koneksheni ya karibu sana alipata awamu ilopita. Alikuwa na taarifa za Hadi muda wa kutangazwa kwa ajira. Hizo ndo koneksheni sasa Yan inakuwa ndani kabisa ya mfumo, sio hizi za kuuliza kwa simu na kuambiana tuombe Mungu. Kama na yako iko hivo basi natanguliza hongera zangu mkuu.
 
Back
Top Bottom