Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

How mwalimu wa uko Muleba
Umeelewa nilichoandika?
""Mbona unapingana na heading yako?""

Umesema ""Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection Tamisemi"" mara Tena unasema ""Ila Ni kweli nafasi 9800 nyingi ata connection zikiwa 2000 bado nafasi zinabaki 7800 daa"" na ""Haiwezekani ajira 9800 wote wapate wenye connection, sema Kama connection ni majina 20 tu""

Kwahiyo hapa...
Tunazungumzia availability of the Connection au kiasi(quantative) cha connection?

MBONA UNAPINGANA NA HEADING YAKO?

#YNWA
 
Achana na mtoa maada maana hakubahitka kuwa uelewa amejaaliwa kupayuka sana
 
Hi hope mko poa Sana.

Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.

Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.

Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.

Badirika
 
Mzee kama huna uhakika bora unyamaze tuu connection ipo na watu wanatembeza vi memo kwelikweli kuna mtu alimface katibu mkuu wa wizara fulani walikutanaga kwenye semina moja iv akajaribu kumchomekea alichojibiwa ni kuwa yeye aombe tu ila kuna vimemo kutoka kwa mawaziri fulani vya kutosha tu so hawez kumsaidiaa
 
Sasa mawaziri na hizo ajira za Tamisemi wapi na wapi, unakuta watoto wa mawaziri hakuna anayeajiriwa Halimashauri,,,, afu ndo maana uyo katibu mkuu alikataa maana anajua kupata connection Ni issue [emoji3]
 
Hakuna sehemu isiyokuwa na connection
Ni kipindi kile cha Magufuli mpaka eti uwe CCM ndo uajiliwe. Nimeona mengi sana enz Heri James anatuma majina ya UVCCM na wana ajiriwa wengne msubili mpaka CCM waishe. Mama Samia kabadilisha huo ujinga hamna
 
Magufuli alikuwa mshamba sana
 
Yaani hakuwa muungwana na ata wakimzodoa huko aliko simhurumii. Yani kulikuaga na katim flan kanakueleza et mpaka uwe kada na makada walipata ajira fasta mtu kamalza chuo leo ajira zktangazwa mwezi kesho yumo wakat hata cheti hajapata. Yani Mama Samia hii nchi aiongoze milele tu pamoja siipendi CCM ila Samia namkubali sana hana ubaguzi wa kiboya kias hcho
Magufuli alikuwa mshamba sana
 
Atapigwa na kitu kizitooo

Mimi kuna mshikaji ni daktari akaniambia ana mtu wake wizara ya Elimu so connection laki 5 lakin nalipa laki 2 kwanza laki 3 nikienda kulipoti kituoni namalizia..nikamwambia fresh nitakupa nilimuamini kwasababu namuonaga sana anapiga picha na kina ummy mwalimu , shemdoe na viongozi wengi so nilimuamini nilishtuka kwamba naweza pigwa na kitu kizito kwasababu alikua ananisumbua sana kila sekunde anapiga simu nikamwambia sijapata akasema kopa basi akaendelea kunisumbua nikawa sipokei simu zake baadae nikamwambia nimekosa hela..akakasilika mwenyewe eti nimemsumbua bure yan alikua anamzuka ananishinda hadi ninaetaka connection
 
Hapo ulikua unapigwa[emoji3].

Ni vema ulivyostuka.
 
Hi hope mko poa Sana.

Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.

Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.

Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.

Badirika
We inaelekea umekuja mjini jana,unasema hakuna koneksheni?ajira za serikali nyingi zimejaa Rushwa,mashirika ya umma,majeshi,serikali kuu,huko kote ni balaa,Mimi nimekutana nazo miaka kumi iliyopita,iweje useme leo hazipo,wakati wasomi wameongezeka
 
Mimi kuna mshikaji ni daktari akaniambia ana mtu wake wizara ya Elimu so connection laki 5 lakin nalipa laki 2 kwanza laki 3 nikienda kulipoti kituoni namalizia..nikamwambia fresh nitakupa nilimuamini kwasababu namuonaga sana anapiga picha na kina ummy mwalimu , shemdoe na viongozi wengi so nilimuamini nilishtuka kwamba naweza pigwa na kitu kizito kwasababu alikua ananisumbua sana kila sekunde anapiga simu nikamwambia sijapata akasema kopa basi akaendelea kunisumbua nikawa sipokei simu zake baadae nikamwambia nimekosa hela..akakasilika mwenyewe eti nimemsumbua bure yan alikua anamzuka ananishinda hadi ninaetaka connection
Mwenye connection huwa hangaiki huyo alikuwa mlevi
 
connection zipo, lakin sio kirahisi! na uhakika ndugu zangu wengi walimaliz chuo na kuunganishwa na ndugu yangu direct
 
Back
Top Bottom