Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Daaah MAFIA NAPAKUBALI AISEE nataman kupangiwa huko japo sikuomba huko
Mkuu na wewe unachekesha, yaani unapakubali lkn umepewa option tano bado hujapachagua,Ila uko pa kijinga kila siku kupanda pantoni, na vitu Bei juu htr
 
Masomo yangu sikuyaona kwenye hiyo wilaya kwenye zile option
 
Ni makosa ya Tamisemi hii shule inaitwa Jibondo sec Ina Mwalimu mmoja lakini hawakuiweka kwenye mfumo

Ila now ipo full equipped
Screenshot_20220607-121558.jpg
Screenshot_20220607-121553.jpg
Screenshot_20220607-121546.jpg
 
Asee mbona hawatoi ajira leo mwezi sasa umepita,huyu Bashugwa hafai kuwa Tamisemi.
Acha mbwembwe, yaani ATA mwez haujapita mshaanza kulaumu, mbona 2020 deadline ilikuwa 04/10/2020/ lakini post zikatoka 27/11/2020/, kikubwa omba uwemo
 
Maisha yanaenda kasi sana, ualimu zamani ulidharaulika sana, lakini sasa ivi bila connections hutoboi , imekuwa ni dili na wenyewe
 
Sio Ualimu tu, zaman watu walikuwa wanapangiwa magereza afu walikuwa hawaendi Ila now bila Connection magereza hutoboi
 
Maisha yanaenda kasi sana, ualimu zamani ulidharaulika sana, lakini sasa ivi bila connections hutoboi , imekuwa ni dili na wenyewe
Kwenye Ualimu hakuna connection watu wanapata ajira kwa haki
 
Back
Top Bottom