Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 747
- 399
Itakuwa offer maalumNikwelli bas na nyiny mbma mm nimenunua hvyo kwa buku tatu nikapata 3 gb uzuri wa vodakom wako Kasi snaa ner yao
Itakuwa offer maalumNikwelli bas na nyiny mbma mm nimenunua hvyo kwa buku tatu nikapata 3 gb uzuri wa vodakom wako Kasi snaa ner yao
Nenda sehemu nyingine ambao simu itasoma mnara tofauti na wa awali.Mbona kwangu hawajabadirisha?
Halopesa >MEGA BANDOHizo zinapatikanaje?
Ujue umenishawishi kuunga Halotel lakini niliyoyakuta humo ni tofauti na hii promo!
Hata kama ni wilaya moja?Nenda sehemu nyingine ambao simu itasoma mnara tofauti na wa awali.
Piga *148*66# Kwa salio la kawaidaHizo zinapatikanaje?
Ujue umenishawishi kuunga Halotel lakini niliyoyakuta humo ni tofauti na hii promo!
Naona wanaangalia sura mbona mimi bado mziki uko pale paleWakuu wasalam !nimeona mabadiliko kwenye vifurushi hususan internet kwa shilling elf 3000 unapata gb3 week nzima awali nilikuwa napata gb 1.2 kwa week
Hii inaweza kuwa nafuu kwangu mimi
Sijui kwako *149*03# Zama ujionee
Ndio, we nenda mtaa mwingine.Hata kama ni wilaya moja?
Me mwenyewe nimehama voda nkahamia Halotel. But I miss speed ya voda, Halotel ni konokonoKwangu Halotel 5000 Gb 7....ila Internet ya kishamba sana aisee, mara haisomi 4G, mara network hakuna.....ndiyo mara ya kwanza natumia hii, ni cheap ila hopeless kabisa


Unapata wapi hicho kifurushi mkuu mbona kwangu hakijarudi.Kwangu Halotel 5000 Gb 7....ila Internet ya kishamba sana aisee, mara haisomi 4G, mara network hakuna.....ndiyo mara ya kwanza natumia hii, ni cheap ila hopeless kabisa
Nimenunua 1.2 GB fedha ya nusu kilo ya nyama.
Kwangu kipo mkuuUnapata wapi hicho kifurushi mkuu mbona kwangu hakijarudi.
Voda wanakuwa wajeuri maana wanajua speed yao iko na kasiKiukweli lazima mtu ujipange,tofauti na hivyo mayowe hayatoisha,mchuzi moto wali moto hakuna penye nafuu.
Halotel gb kibao ila net sasa ndo tatizo yani haifunguki kwa kasi.
😂 😂 😂Tushahama man.
Speed ipo Voda,Smile na Zantel lakini kila unapofurahia net kufunguka kwa kasi ndo bando lako linavyosepa pia kwa kasi.Voda wanakuwa wajeuri maana wanajua speed yao iko na kasi
Ova