Vifurushi vya Vodacom vyarejea

Vifurushi vya Vodacom vyarejea

"Bundle,bundle langu wengine wanabandua boko"

Na usipomtia bundle wenzako wanamtia.
 
Nenda sehemu nyingine ambao simu itasoma mnara tofauti na wa awali.
Hii ishu ni kweli mkuu. Leo asubuhi nipo home kila nikicheki menu kuna vifurushi vya kipumbavu, nimetoka ubungo muda sio mrefu nikiwa huko nilicheki menu ni kweli nikakuta vifurushi vimerudi basi nikasema bora tuendelee kufurahia vifurushi vya zamani. Nimerudi sahivi nyumbani napiga tena kwenye menu yao ili nijiunge nakutana na utopolo wao wa mwanzo hapa pumbavu zao. 😡😡
 
Hawana lolote mpaka sasa mi napata gb 1.2 kwa buku 3000 mae mae zao
 
Laini ya voda nshaitupa tangia waanze na Bei mpya
 
Back
Top Bottom