Vifurushi vya Vodacom vyarejea

Vifurushi vya Vodacom vyarejea

Hiyo sio wote wanaipata mimi napata 1.5b kwa 3000
 
We we we we wewewewewe! Tena komea hapohapo hao wajinga wezi sana tena nitumie nafasi hii kuwatahadharisha ndugu zangu

Epukeni kuunga vifurushi vya mara kwa mara Zantel... mtakuja kunishukuru
Kiukweli lazima mtu ujipange,tofauti na hivyo mayowe hayatoisha,mchuzi moto wali moto hakuna penye nafuu.
Halotel gb kibao ila net sasa ndo tatizo yani haifunguki kwa kasi.
 
Ila kwa mtu mwenye matumizi makubwa ni bora ununue 50gb kwa 50k, kwa mwezi ipo kwenye Jimwage Data...

Mi natembea na hiyo angalau kuna unafuu, voda inabaki kuwa internet bora kabisa kwenye speed pamoja na kwamba ni ghali..

Mi ndo maana sihami boda, kwa mwezi nikitumia 100k kwenye data sio mbaya.
Laki kwa mwez duh wee mwezangu naona unalipwa milioni 4 itakuwa
 
Fiksi

Ova
Hmn Ni kweli
Screenshot_20210415-215845.jpg
 
Njoo halotel hutajutia kamwe yaani..

1000 GB 1 na dk 100 week nzima
3000 GB 3 week nzima
 
Njoo halotel hutajutia kamwe yaani..

1000 GB 1 na dk 100 week nzima
3000 GB 3 week nzima
Hizo zinapatikanaje?
Ujue umenishawishi kuunga Halotel lakini niliyoyakuta humo ni tofauti na hii promo!
 
Back
Top Bottom