Vifurushi vya Vodacom vyarejea

Vifurushi vya Vodacom vyarejea

Wakuu wasalam !nimeona mabadiliko kwenye vifurushi hususan internet kwa shilling elf 3000 unapata gb3 week nzima awali nilikuwa napata gb 1.2 kwa week
Hii inaweza kuwa nafuu kwangu mm

Sijui kwako *149*03# Zama ujionee
Kangu bado pagumu
 
GB 10 kwa buku kwa wiki lakin Internet speed mwendo wa konokono. What's the use?
 
Wakuu wasalam !nimeona mabadiliko kwenye vifurushi hususan internet kwa shilling elf 3000 unapata gb3 week nzima awali nilikuwa napata gb 1.2 kwa week
Hii inaweza kuwa nafuu kwangu mimi

Sijui kwako *149*03# Zama ujionee
Mbona sioni ama kuna special numbers
 
Asante vodacom
Screenshot_20210416-163339_Phone.jpg
 
Mimi nina laini mbili, nimeachana na kutumia voda kwenye data, wakiendelea kuleta nyodo naitupa laini yao nachukua mtandao mwingine
 
Wakuu wasalam !nimeona mabadiliko kwenye vifurushi hususan internet kwa shilling elf 3000 unapata gb3 week nzima awali nilikuwa napata gb 1.2 kwa week
Hii inaweza kuwa nafuu kwangu mimi

Sijui kwako *149*03# Zama ujionee
Hakuna jipya
 
sasa Hakikisheni wale walio nunua mabando ya Mwezi wakati wa kipindi cha mabadiliko wanaongezewa MB zao kwa mujibu wa Mabando yao ya sasa kama kawaida ili waendelee kuperuzi.

VODACOM KAZI NI KWAKO!
 
Watajijua kwa buku tu napata GB nzima Halotel... Napata shida kujitambulisha kuwa hii ni namba yangu mpya ila baada ya miezi miwili wataizoea tu wadau.
 
Naingia mwaka wa pili sijawahi weka salio kwny lain ya voda.....ila sijawahi toa kwny simu
 
Back
Top Bottom