Vifurushi vya internet vimepanda bei ghafla, serikali iko wapi?

Vifurushi vya internet vimepanda bei ghafla, serikali iko wapi?

Yaani leo vifurushi vimepanda bei maradufu shilingi 1000 unapata mb 350 hii ni kwenye tigo huko airtel na voda ni majanga serikali iliyochaguliwa na "maskini" iko wapi? Au huku ndio kuisoma namba kwenyewe?
Maskini hajui MB
 
Si uache kutumia virushi vya internet.usipotumia internet utakufa??? Kila kitu kulalamika tuuu
 
Njoo Halotel
IKiwa Halotel hawajapandisha kwa kweli hamna namna; itabidi nihamie huko manake kilichofanywa na jamaa wa Utatu Haramishi ni uhuni usiokubalika hata kidogo! Kwanza kuna kila dalili kwamba wamefanya collusion jambo ambalo halikubaliki kwenye soko huru. There's no way kampuni zote tatu zipandishe gharama kwa wakati mmoja halafu iwe hawajakubaliana. Na ikiwa Halotel nao watafuata upuuzi uu, nitajiunga TTCL hata kama wao gharama zao zitakuwa juu ili mradi tu hawa washenzi wasiipate tena pesa yangu japo kwa mwezi.
 
Si uache kutumia virushi vya internet.usipotumia internet utakufa??? Kila kitu kulalamika tuuu
Acha mawazo ya hovyo wewe... usidhani kila anayetumia internet ni kwa ajili ya JF na Facebook; hapa tulipofikia internet ni bidhaa muhimu kwa watu wengi tu kama ilivyo kwa umeme! And FYI, watu wa Facebook wala hawawezi kulalamika kuhusu gharama za internet kv matumizi yao ni madogo sana mbali na kwamba mitandao mingine inatoa free MB kwa ajili ya Facebook! Binafsi, 100% ya kazi zangu zinatumia internet na watu kama mimi tupo wengi tu hapa mjini!
 
Jamani, msikalie siasa tu kwani hata ving'amuzi vyote sasa hivi hupati local channels bila kulipia.
Haya mambo yangelikuwa yanawekwa wazi kabla ya kutekelezwa ili tujiandae. Refer VAT kwenye miamala!

Unanunua tv ili uone bure!!
Tulia fanya kazi
 
Acha mawazo ya hovyo wewe... usidhani kila anayetumia internet ni kwa ajili ya JF na Facebook; hapa tulipofikia internet ni bidhaa muhimu kwa watu wengi tu kama ilivyo kwa umeme! And FYI, watu wa Facebook wala hawawezi kulalamika kuhusu gharama za internet kv matumizi yao ni madogo sana mbali na kwamba mitandao mingine inatoa free MB kwa ajili ya Facebook! Binafsi, 100% ya kazi zangu zinatumia internet na watu kama mimi tupo wengi tu hapa mjini!
Weng tunategemea internet kufanya shugul zetu ngoja niwatafute ttcl tu nichek kwanza home WiFi modem kama nako vimepanda nahamia ttcl
 
Nimejiunga airtel Leo 1Gb kwa 1000.imepanda mchana huu au
 
Duh1 kweli mkuu, buku unapata mb 350 tigo. Hii hatari tunazidi kurudi nyuma.Ila kwa sasa maumivu nitayasikikia kwa mbali kuna ka-wireless nakadoea,sijui mwenyewe nani kana-conenect automatic kwenye laptop yangu.Poleni wa-tz
 
Wakuda wote hapa ndio sebuleni kwao, ila kwa kifupi airtime na internet bundle si tatizo kabisaaa.

Inakuwa vipi isiwe tatizo wakati mimi nashindwa kumudu gharama kuingia mitandaoni.....!!!??

Au kuna njia za kuingia kwenye mitandao bila kuwa na kifurushi....??!!!
 
Nimejiunga airtel Leo 1Gb kwa 1000.imepanda mchana huu au
Kwa kutumia code ipi? Kwa muda mrefu natumia airtel na kifurushi cha 1GB wameshusha to 400 MB tangia jana!
 
Weng tunategemea internet kufanya shugul zetu ngoja niwatafute ttcl tu nichek kwanza home WiFi modem kama nako vimepanda nahamia ttcl
Internet kwa sasa ni bidhaa muhimu sawa na sukari kwahiyo inakera sana wanapotokea wapuuzi wachache wanakuja na hoja "kwani lazima utumie internet!" Yaani hawa bado wanadhani internet ni kwa ajili ya kuingia social network! Na kwavile hali ipo hivi, hamna namna! Itabidi niichangie kampuni ya serikali! Na nitafanya hivyo kuonesha hasira zangu kwao!
 
siku hizi lazima uwe na laini zaidi ya moja. mfano mimi muda wa maongezi najiunga airtel ingawa nao unanunua kifurushi na ukipiga simu pia unakatwa labda usiwe na salio. vifurushi vya internet halotel vyao nafuu na pia wanakasi nzuri. Ila tunapigwa na hii mitandao ya simu .tumekuwa machozi ya samaki hupotelea bahari.TCRA wao busy na nani anamtusi mzee
 
Yaani leo vifurushi vimepanda bei maradufu shilingi 1000 unapata mb 350 hii ni kwenye tigo huko airtel na voda ni majanga serikali iliyochaguliwa na "maskini" iko wapi? Au huku ndio kuisoma namba kwenyewe?

Unamwita jk, tume na policcm kuwa maskini? Naona hujitaki .
 
Nimeconfirm mkuu airtel 3000TZs unapata 500mb instead of 1gb huu ni unyonyaji mkubwa
 
Back
Top Bottom