Vifurushi vya internet vimepanda bei ghafla, serikali iko wapi?

Vifurushi vya internet vimepanda bei ghafla, serikali iko wapi?

Lakini kwanini internet hapa Tz inafanywa kua anasa na bidhaa adimu?nchi za wenzetu kila ukuchao inafanywa kua cheap nyaani wanakoeekea itakua bure kabisa..mfano mdogo malaysia
 
wambea sana na mnafwatilia sana maisha ya watu yasiyowahusu ndo kana mnaona zimepanda...ila kama unataumia mb kwa nidhamu... msingelalamika...mbona beer na condom hamjapiga kelele bei zake
we utakua shabiki wa cccm tu sio bure
 
Back
Top Bottom